Natamani kujua maisha ya marehemu Al Habib Alhaji Aziz Massanga (Zingizi)

Natamani kujua maisha ya marehemu Al Habib Alhaji Aziz Massanga (Zingizi)

Ameshatangaza hataki tena kugombea 2020.
Nahisi atamuachia Ochele yule mjaluo Mwenzake, ila ochele ananishangaza kitu kimoja tangu anavua samaki kule shirati/sota hadi sasa ana mtoto...

Naskia pesa yake ni ya masharti, kuna ukweli hapa...
 
La kwanza kumbuka hakutoka familia ya kimasikini baba yake Alikua transporter mkubwa mtu Zingizi namjua na familia yao naijua tumekaa wote Kariakoo enzi hizo.. vipodozi kuanza alipata kuaminiwa na kampung kubwa ya vipodozi SA huko wakampa kwanza kama mali kauli mizigo mikubwa tu na akawa muaminifu na kumbuka Huyu ni supplier wa Tanzania nzima na ni muuzaji wa jumla tu wa vipodozi vya clear na aina tofauti tofauti za bodyspray ni yeye tu ndio alikua akileta na alikua akiuza na nchi za jirani supplier ni yeye tu

Mpk huyo mtu alikua ni tajiri tena sana tu.
 
Wewe muongo na mnafiki mkubwa,huna hoja yeyote wewe ndio ile michele coca
Mkuu nimeandika kidogo tu ninayoyafahamu
Wadau wake wamenishambulia kama mpira wa kona

Wewe ni mtu mzima Mkuu jiongeze

Kumsema vibaya humu kutawafanya wanaosali kwenye msikiti aliojenga wajisikie vibaya

Acha yapite
 
Yeye kabaki monster tu basi,eleza anachokijua hataki na ndio maaana namwambia haya ndio madhara ya buku saba
Sijaelewa hasa unachotaka ni kitu gani kwenye huu uzi mkuu. Umeuliza kila unapoandika watu waseme ukweli kuhusu biashara yake, kwanini unataka kulazimisha mambo ya habari za kusikia? Wewe kama unauelewa ukweli kuhusu biashara yake si uuweke hapa hadharani?

Watu wanaongelea yale waliyoyasadiki, kuyashuhudia na kuyaona. Hizo habari za kusikia hata wewe kuna watu wanasikia mengi kukuhusu lakini kwa vile ni kusikia wanapotezea.

mrangi amekupa ushuhuda wa jinsi alivyomfaham na alivyompa msaada kupata biashara ya kuagiza maziwa.

Mie nakwambia nimepanga na kuishi miaka zaidi ya 9 kwao Msasani na alikua akija kumsabahi Bibi yake karibia kila wiki. Kasaidia watu wengi kwa misaada inayoonekana. Wameenda hija na Mama yake waliporudi kaja kugawa zawadi kwa wote majirani na jamaa zake.

Kwa kuwa umeuliza, subiria wanaoujua kuhusu biashara wakujibu, ila kuendelea kumtuhumu mtu kwa habari za kusikia sio sawa.

Jifunze kuwatendea wengine kama ambavyoungependa wao wakutendee wewe.
 
Kubwa la wanaf*k
Kwani wewe ukipanga kwake Ndio utajua Maisha yake?

By the way nimechangia ninachojua na wewe umechangia unachojua na huna mamlaka ya kutaka kuandika nikufurahishe kwa kuwa unafahamiana naye hio NO

Who are you?

Unamdefend kwa sababu ati ulikuwa mpangaji wake !

Maaajabu haya
 
Ilo jamaa ongo,halina hoja ya msingi linabaki kuzunguuka tu
Hujaelewa nikichoandika au haujasoma vizuri. Sina shida na ulichokuandika kwa jinsi unavyomfaham. Tatizo linakuja hapa, unahimiza au kulazimisha watu wataje biashara yake na waseme ukweli, nikichosema subiria wanaojya huo ukweli wauseme, vuta subra, kama wapo na wanaujua ukweli watauwrka hapa hadharani.

Au kama wewe unaujua ukweli uweke hapa, kwani shida iko wapi?

Watu wanaishi nyumba moja na hawafahamiani vizuri itakuja kuwa mie mpangaji? Siwezi kumfaham kila kitu. Lakini nimejibu na kyandika kwa mujib wa mleta uzi aliyetaka kumfaham zaidi Zingizi.

Nilichokiandika ni kitu nba uhakika nacho kwa kadri nilivyomfaham, nawewe weka hapa hicho unachokifaham, mbona mambo marahisi tu?
 
Lkn sio kuweka legacy kwa kufanya Biashara haramu na kuumiza mamia ya vijana

Ana bahati alishtuka mapema akaacha
Kwani wengi huwa hawaachi
Mzee we acha tu we fanya mambo yako
Kuhusu Maisha ya watu na mafanikio Yana siri nyingi
Kuna Hao wewe una waona wako clean lkn ungewajua watu wakisema wakufunulie utabaki mdomo wazi

Ova
 
Back
Top Bottom