Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,112
- 4,361
Wewe c useme sasa,haya ndio madhara ya 7k
Mbona mnaficha biashara yake ile iliyompa utajiri?
Wabongo kwa unafiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mnaficha biashara yake ile iliyompa utajiri?
Wabongo kwa unafiki
kwanini wewe ni mtu wa hukumu tu? kwamba hakuna watu waliotoboa maisha kwa njia za halali na kusaidia jamii ? ujuaji mwingine hauna msingi kiufupi si lazima tuone comment yako kila mahali muda mwingine busara huitajika zaidi kuliko emotions.
Mimi sijajiita mjuaji wala mimi sio mjuaji
Ila nimecoment ninachojua
Kama imekuuma
Chukua jiwe zito funga shingoni nenda pale baharini ujindumbukize
hahahhahhahah unapata tabu saanaLkn sio kuweka legacy kwa kufanya Biashara haramu na kuumiza mamia ya vijana
Ana bahati alishtuka mapema akaacha
Kwani wengi huwa hawaachi
Kuna mtoto wa kaka yake/mdogo wake anaitwa Rama naona anauza sana uso na jux kutwa yuko china...Mbunge huyo milele
Ile mashine sana
Ova
Samahani Mkuu kama nimegusa maslahi yenu
Ila sikupenda nikae kimya wakati naujua ukweli
Ok simfahamu
Naskia Ochele yule mjaluo mwenzake anataka kuingia katika kinyang'anyiro cha kugombea ubunge mwakani kupitia tiketi ya CCM sasa sijui atafua dafu au lah..Hakuna wakumtoa pale rorya hayupo
Nahisi atamuachia Ochele yule mjaluo Mwenzake, ila ochele ananishangaza kitu kimoja tangu anavua samaki kule shirati/sota hadi sasa ana mtoto...Ameshatangaza hataki tena kugombea 2020.
La kwanza kumbuka hakutoka familia ya kimasikini baba yake Alikua transporter mkubwa mtu Zingizi namjua na familia yao naijua tumekaa wote Kariakoo enzi hizo.. vipodozi kuanza alipata kuaminiwa na kampung kubwa ya vipodozi SA huko wakampa kwanza kama mali kauli mizigo mikubwa tu na akawa muaminifu na kumbuka Huyu ni supplier wa Tanzania nzima na ni muuzaji wa jumla tu wa vipodozi vya clear na aina tofauti tofauti za bodyspray ni yeye tu ndio alikua akileta na alikua akiuza na nchi za jirani supplier ni yeye tu
Mkuu nimeandika kidogo tu ninayoyafahamu
Wadau wake wamenishambulia kama mpira wa kona
Wewe ni mtu mzima Mkuu jiongeze
Kumsema vibaya humu kutawafanya wanaosali kwenye msikiti aliojenga wajisikie vibaya
Acha yapite
Sijaelewa hasa unachotaka ni kitu gani kwenye huu uzi mkuu. Umeuliza kila unapoandika watu waseme ukweli kuhusu biashara yake, kwanini unataka kulazimisha mambo ya habari za kusikia? Wewe kama unauelewa ukweli kuhusu biashara yake si uuweke hapa hadharani?
Watu wanaongelea yale waliyoyasadiki, kuyashuhudia na kuyaona. Hizo habari za kusikia hata wewe kuna watu wanasikia mengi kukuhusu lakini kwa vile ni kusikia wanapotezea.
mrangi amekupa ushuhuda wa jinsi alivyomfaham na alivyompa msaada kupata biashara ya kuagiza maziwa.
Mie nakwambia nimepanga na kuishi miaka zaidi ya 9 kwao Msasani na alikua akija kumsabahi Bibi yake karibia kila wiki. Kasaidia watu wengi kwa misaada inayoonekana. Wameenda hija na Mama yake waliporudi kaja kugawa zawadi kwa wote majirani na jamaa zake.
Kwa kuwa umeuliza, subiria wanaoujua kuhusu biashara wakujibu, ila kuendelea kumtuhumu mtu kwa habari za kusikia sio sawa.
Jifunze kuwatendea wengine kama ambavyoungependa wao wakutendee wewe.
Kwani wewe ukipanga kwake Ndio utajua Maisha yake?
By the way nimechangia ninachojua na wewe umechangia unachojua na huna mamlaka ya kutaka kuandika nikufurahishe kwa kuwa unafahamiana naye hio NO
Who are you?
Unamdefend kwa sababu ati ulikuwa mpangaji wake !
Maaajabu haya
Hujaelewa nikichoandika au haujasoma vizuri. Sina shida na ulichokuandika kwa jinsi unavyomfaham. Tatizo linakuja hapa, unahimiza au kulazimisha watu wataje biashara yake na waseme ukweli, nikichosema subiria wanaojya huo ukweli wauseme, vuta subra, kama wapo na wanaujua ukweli watauwrka hapa hadharani.
Au kama wewe unaujua ukweli uweke hapa, kwani shida iko wapi?
Watu wanaishi nyumba moja na hawafahamiani vizuri itakuja kuwa mie mpangaji? Siwezi kumfaham kila kitu. Lakini nimejibu na kyandika kwa mujib wa mleta uzi aliyetaka kumfaham zaidi Zingizi.
Nilichokiandika ni kitu nba uhakika nacho kwa kadri nilivyomfaham, nawewe weka hapa hicho unachokifaham, mbona mambo marahisi tu?
Lkn sio kuweka legacy kwa kufanya Biashara haramu na kuumiza mamia ya vijana
Ana bahati alishtuka mapema akaacha
Kwani wengi huwa hawaachi
Mzee we acha tu we fanya mambo yakoLkn sio kuweka legacy kwa kufanya Biashara haramu na kuumiza mamia ya vijana
Ana bahati alishtuka mapema akaacha
Kwani wengi huwa hawaachi
DuhKuna mtoto wa kaka yake/mdogo wake anaitwa Rama naona anauza sana uso na jux kutwa yuko china...
Naona bwana mdogo kayapatia maisha hasa, hapa ngada haijahusika kweli mkuu..