Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
Mlivyojutahidi sasa kutafsiri hiyo maana ya kuzaliwa upya! Si kwa level hiyo ya kujihesabia haki. Poleni sana
My question is , yule amezaliwa katika nyumba ya "born again" Christians kwa mujibu wa tafsiri yako , is that person supposed to be reborn as well? Jibu lako litaleta swali langu jingine!Being born again according to the Bible refers to a spiritual rebirth or regeneration where a person experiences a personal transformation through faith in Jesus Christ. This concept is often associated with a new life, a new nature, and a new identity in Christ. In the Gospel of John, Jesus tells Nicodemus that one must be born again to enter the kingdom of God, emphasizing the need for a spiritual renewal and a new relationship with God.
We mtu wewe kumbe haya kunyandua waeza itenga kea mdaWakristu hakuna muda maalumu kufturu.funga yenyewe ni pana,unaweza funga kula ata Cha mchana tu,unaweza funga kuacha kunywa bia,hiyo ela ambayo ungekunywa ukapeleka kwa wahitaji,unaweza funga kunyandua katika kipindi chote Cha kwaresma.n.k
Funga ya Mkristo siyo kuacha kula tu.Habarini wakuu, mimi uhuru one nataka kujua muda sahihi wa wakristo kupata kifungua kinywa baada ya fungwa ya kutwa nzima.
Tukumbuke Ramadhani hii imeambatana na ndugu zetu nao wanatimiza funga ya kwa RESMA ila nataka kufahamu namna ya kufuturu, kwanini nimeuliza hivi???
Nipo kariakooo pale, lakini ofisi zote za pale tupo changanyikeni wakristo kwa waislam, ila kwa upande wa wakristo namuona mzee mmoja wa makamo ndio anaofunga tuu.
Sasa huyu mzee wa makamo alivyoonza tukawa tunafuturu wote pamoja, ila kuna siku ananishangaza kidogo anafuturu hata saa 5:50 jioni.
Yaani akimuona tu yule muuza futari anapita kuchukua oda basi mzee anamwambia niletee na kwemi baada ya dakika 10 futari imefika mzee anafuturu ukiangalia saa ni 5:45 au 5:55.
NINACHOWEZA SEMA KWAMBA HUYU MZEE KUFUTURU INATEGEMEA NA MUUZA FUTARI KAPITA MUDA GANI, YAAN HANA MUDA MAALUM WA KUFUTURU.
Ndio nimekuja na jambo hili nataka ufafanuzi wenu wakuuu
Wewe akili Yako sijui unaitumia vipi kama ata maandiko Yako huyajuiHakuna dini ya hivyo kijana, na kila mtu atabeba mzigo wake.
Hakuna kubebewa mzigo yaani Wakristo sijui akili zenu mnazitumia kwa mambo gani ?
Kuna beki tatu alitaka kufunga siku 3 bila, siku ya pili jioni alilegea hawezi hata kusimama. Nikamwambia ama afungue muda huohuo au achukue kilicho chake nimpeleke stendi Shekilango akafie kwao Geita.Siku tatu bila kula chochote si inawezekana nikafa mkuu?😁
Yes na mim najuwa hivyo,kufungua ni saa 12:00 jion,na kuanza kufunga ni saa 12:00 ahsubuhi,na hauruhusiwi kula ftariHamna maagizo ya Yesu kufunga kwaresma, na kwa wakristo kwaresma haimaanishi kufunga, maana kufunga ni wakati wowote unapohitaji kufunga unafunga tu.
Kuhusu kufungua huwa ni saa 12 jioni
Poa.Wewe akili Yako sijui unaitumia vipi kama ata maandiko Yako huyajui
Allah anasema siku ya hukumu muislamu ata akiwa na dhambi nzito kama mlima , dhambi zake atazibeba mkristo na myahudi , Allah kwanza alikuwa hajui Kuna dini zingine zaidi ya ukristo na uyahudi
There would come people amongst the Muslims on the Day of Resurrection with as heavy sins as a mountain, and Allah would forgive them and He would place in their stead the Jews and the Christians...Sahih Muslim 2767d
Ndio ujifunze maandiko Yako kabla huja comment, umemzalilisha Allah mbele ya ummaPoa.
Shida hujawahi kupatia katika kuuzungumzia UISLAMU.Ndio ujifunze maandiko Yako kabla huja comment, umemzalilisha Allah mbele ya umma
Ni wazi wewe ni mpinga AllahShida hujawahi kupatia katika kuuzungumzia UISLAMU.
Hata hili nalo ni vile vile. Sasa sio kila mtu anafaa kujibiwa.
Atakuwa kajuaAkishajua?
Ila hawaamki alfajiri kulaShukran