comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Wewe NI mfuasi WA mudi au yesu?Uzi mzuri kama huu unatakiwa kutrend
Binafsi sijui ukristo muda wa kufunga na kufungua ni upi
Wewe NI mfuasi WA mudi au yesu?Uzi mzuri kama huu unatakiwa kutrend
Binafsi sijui ukristo muda wa kufunga na kufungua ni upi
Sio mfuasi wa yoyote kati yaoWewe NI mfuasi WA mudi au yesu?
Shukran mkuuu, kama hivi tunapata elimu, din sio ugomvi au malubanoMleta mada etal iko hivi ;
Kwa wakristo kufunga sio amri.
Siyo agizo.
Sio nguzo.
Inaruhusiwa kufunga lakini pale tu hali ya mambo yako ya maisha unapoona yakupasa kufunga.
Na mfano mzuri ni Yesu alifunga siku arobaini kavu bila kufuturu wala kula daku usiku na mchana.
Yesu alifunga sababu ya kazi nzito ilikuwa ikimkabili ya mateso mazito na kufa kisha kufufuka ili kuukomboa Ulimwengu .
Motive ya kufunga kwake ilikuwa ni ili kuongeza stamina ya kuufisha mwili na kuimarisha nguvu ya rohoni ili kukabiliana na kazi nzito ya kushinda mateso , kifo kisha kufufuka na kuokoa Ulimwengu .
Kiukweli Mkristo anaeamua kufunga anapaswa kuwa serious afunge bila kula chochote isipokuwa kila jioni kuanzia saa 12 na asile daku.
Ndio maana Mkristo wa kweli akifunga kwa muda wa siku nyingi lazima akonde awe kama kijiti kitu ambacho ni kizuri sana kiafya.
Sawa, SIO mbayaSio mfuasi wa yoyote kati yao
Mkuu Joanah na mkuu Al-mukheef endeleeni kubishana
Mm nimeuliza tu, mbona kuna wengi wanauliza kutoka uislam na wanaelekezwa kwanini unapouliza ukristo uonekane kama unanongwa. Na hii naonaga hata mtaani mkristo anaweza akamuliza jambo fulani uislam na akamjibu vizuri tu bila hata ya kupaniki, ila sasa uliza wew ndio kama huyu.Ukimsoma vizuri kuna negative connotations kwenye andiko lake. Ni kama vile anataka kusema kwamba huyu mzee wa Kigalatia anaharibu funga yake maana anakula kabla ya muda sahihi kama inavyotakiwa kwa wavaa kobazi. Na si ajabu yataibuka mapambano ya kidini hapa sasa hivi!
Anyway. Kwa Wagalatia huku kufunga hakuna sheria ngumu kivile. Unaweza kujichagulia mwenyewe jinsi ya kuendesha funga yako. Unaweza kunywa maji tu. Au kupunguza tu baadhi ya milo isiyo ya lazima. Au hata kula ikifika saa 11 au saa 11:30 jioni maana Wagalatia hawana mambo ya daku wala nini. Na kufunga siyo vyakula tu. Unaweza kufunga kunywa bia au soda. Kitu cho chote ambacho siyo cha lazima. Na hela hizo ukazipeleka kwa wenye uhitaji.
Kwa ujumla tu, kwa Wagalatia huku mambo hayajakaa kihafidhina kama huko kwingine. Hivyo huyo mzee yuko sahihi.
Kwani wewe ni mangapi katika dunia hii unayajua na huyafanyii kazi? Wakati mwengine usiwe mjinga!!!!Sawa hayo ni maamuzi yako
Lakini mimi sikuona faida ya kujua kitu ambacho hutokifanyia kazi.
HatubishaniMkuu Joanah na mkuu Al-mukheef endeleeni kubishana
Mzee Hana tabia ya kulakula tena ucku kama wavaa kobaz ni hadi Kesho yakeHabarini wakuu, mimi uhuru one nataka kujua muda sahihi wa wakristo kupata kifungua kinywa baada ya fungwa ya kutwa nzima.
Tukumbuke Ramadhani hii imeambatana na ndugu zetu nao wanatimiza funga ya kwa RESMA ila nataka kufahamu namna ya kufuturu, kwanini nimeuliza hivi???
Nipo kariakooo pale, lakini ofisi zote za pale tupo changanyikeni wakristo kwa waislam, ila kwa upande wa wakristo namuona mzee mmoja wa makamo ndio anaofunga tuu.
Sasa huyu mzee wa makamo alivyoonza tukawa tunafuturu wote pamoja, ila kuna siku ananishangaza kidogo anafuturu hata saa 5:50 jioni.
Yaani akimuona tu yule muuza futari anapita kuchukua oda basi mzee anamwambia niletee na kwemi baada ya dakika 10 futari imefika mzee anafuturu ukiangalia saa ni 5:45 au 5:55.
NINACHOWEZA SEMA KWAMBA HUYU MZEE KUFUTURU INATEGEMEA NA MUUZA FUTARI KAPITA MUDA GANI, YAAN HANA MUDA MAALUM WA KUFUTURU.
Ndio nimekuja na jambo hili nataka ufafanuzi wenu wakuuu
Maeleweshano yameeleweka rasmi 02:30Hatubishani
Wagalatia ndio wakina nani? Ni kweli hawana akili na wamerogwa?Ukimsoma vizuri kuna negative connotations kwenye andiko lake. Ni kama vile anataka kusema kwamba huyu mzee wa Kigalatia anaharibu funga yake maana anakula kabla ya muda sahihi kama inavyotakiwa kwa wavaa kobazi. Na si ajabu yataibuka mapambano ya kidini hapa sasa hivi!
Anyway. Kwa Wagalatia huku kufunga hakuna sheria ngumu kivile. Unaweza kujichagulia mwenyewe jinsi ya kuendesha funga yako. Unaweza kunywa maji tu. Au kupunguza tu baadhi ya milo isiyo ya lazima. Au hata kula ikifika saa 11 au saa 11:30 jioni maana Wagalatia hawana mambo ya daku wala nini. Na kufunga siyo vyakula tu. Unaweza kufunga kunywa bia au soda. Kitu cho chote ambacho siyo cha lazima. Na hela hizo ukazipeleka kwa wenye uhitaji.
Kwa ujumla tu, kwa Wagalatia huku mambo hayajakaa kihafidhina kama huko kwingine. Hivyo huyo mzee yuko sahihi.
Asante sanaMaeleweshano yameeleweka rasmi 02:30
Asante sana kwa uelewa wako...endelea kulala uamke baadae ule daku
Hamna shida mkuu tuko pamoja.Mbona waungwana wanatoa elimu safi
Nadhani tutaendelea kesho kama hutojali ili unisaidie kuvuta muda mkuuTulikuwa tunabishana kumbe?
Mie nilijua ni tupo kwenye Q&A
Sasa hivi naona kapata jibu kalala
Unashangaa watu wawili?Uzi unatrend ukiingia Sasa NI watu wawili tuu WA akijua kajua
Umenena vema. Haina uzwazwaFuturu ya kikiristo ipo flexible haina mashariti magumu