Natamani kujua muda sahihi wa Wakristo kufuturu

Wakristo hufunga kuanzia saa 5:59 usiku hadi jua likizama,... Yaani ikishafika saa tano na dakika hamsini na tisa huruhusiwi kula mpaka kukikucha alafu jua lizame ndio umekamilisha mfungo wa siku.
Hii maana yake ukila saa sita usiku au saa saba, nane au mchana utakua umekiuka hivyo hutahesabu umefunga.

Sasa huyo mzee atakua anaangalia jua likishazama ndio anafungua
 
Habarini wakuu, mimi uhuru one nataka kujua muda sahihi wa wakristo kupata kifungua kinywa baada ya fungwa ya kutwa nzima.

Tukumbuke Ramadhani hii imeambatana na ndugu zetu nao wanatimiza funga ya kwa RESMA ila nataka kufahamu namna ya kufuturu, kwanini nimeuliza hivi???

Nipo kariakooo pale, lakini ofisi zote za pale tupo changanyikeni wakristo kwa waislam, ila kwa upande wa wakristo namuona mzee mmoja wa makamo ndio anaofunga tuu.

Sasa huyu mzee wa makamo alivyoonza tukawa tunafuturu wote pamoja, ila kuna siku ananishangaza kidogo anafuturu hata saa 5:50 jioni.

Yaani akimuona tu yule muuza futari anapita kuchukua oda basi mzee anamwambia niletee na kwemi baada ya dakika 10 futari imefika mzee anafuturu ukiangalia saa ni 5:45 au 5:55.

NINACHOWEZA SEMA KWAMBA HUYU MZEE KUFUTURU INATEGEI KAPITA MUDA GANI, YAAN HANA MUDA MAALUM WA KUFUTURU.
KUDADEEKI, HII NDIYO AVATOR YA KUSHANGAZA KULIKO ZOTE HUMU
 
Mathayo 6:16-17 Mnapofunga, msionyeshe huzuni kama wafanyavyo wanafiki. Maana wao hukunja nyuso zao ili kujionyesha. Nawaambieni kweli kwamba wao wamekwisha kupata tuzo yao. 17 Lakini mnapofunga, jipakeni mafuta kichwani na kuosha nyuso zenu 18 ili kufunga kwenu kusijulikane kwa mtu ila Baba yenu aliye sirini; na Baba yenu aonaye katika siri atawapa thawabu.” Akiba Ya Mbinguni.
 
Habarini wakuu, mimi uhuru one nataka kujua muda sahihi wa wakristo kupata kifungua kinywa baada ya fungwa ya kutwa nzima.

Tukumbuke Ramadhani hii imeambatana na ndugu zetu nao wanatimiza funga ya kwa RESMA ila nataka kufahamu namna ya kufuturu, kwanini nimeuliza hivi???

Nipo kariakooo pale, lakini ofisi zote za pale tupo changanyikeni wakristo kwa waislam, ila kwa upande wa wakristo namuona mzee mmoja wa makamo ndio anaofunga tuu.

Sasa huyu mzee wa makamo alivyoonza tukawa tunafuturu wote pamoja, ila kuna siku ananishangaza kidogo anafuturu hata saa 5:50 jioni.

Yaani akimuona tu yule muuza futari anapita kuchukua oda basi mzee anamwambia niletee na kwemi baada ya dakika 10 futari imefika mzee anafuturu ukiangalia saa ni 5:45 au 5:55.

NINACHOWEZA SEMA KWAMBA HUYU MZEE KUFUTURU INATEGEMEA NA MUUZA FUTARI KAPITA MUDA GANI, YAAN HANA MUDA MAALUM WA KUFUTURU.

Ndio nimekuja na jambo hili nataka ufafanuzi wenu wakuuu
Hivi hakuna la maana unacho waza zaidi ya matumbo? Kila muda kufunga kufunga, haya wewe mtaalamu wa kufunga tangu umeacha kula mchana hadi umri uliokuwa nao sasa umeongezeka nini kupitia hayo maigizo yako ya funga.Unasema unafunga huku unasengenya na kufatilia maisha ya watu. Kula na wewe ukidhi tamaa yako.
 
Mleta mada etal iko hivi ;
Kwa wakristo kufunga sio amri.
Siyo agizo.
Sio nguzo.
Inaruhusiwa kufunga lakini pale tu hali ya mambo yako ya maisha unapoona yakupasa kufunga.
Na mfano mzuri ni Yesu alifunga siku arobaini kavu bila kufuturu wala kula daku usiku na mchana.
Yesu alifunga sababu ya kazi nzito ilikuwa ikimkabili ya mateso mazito na kufa kisha kufufuka ili kuukomboa Ulimwengu .
Motive ya kufunga kwake ilikuwa ni ili kuongeza stamina ya kuufisha mwili na kuimarisha nguvu ya rohoni ili kukabiliana na kazi nzito ya kushinda mateso , kifo kisha kufufuka na kuokoa Ulimwengu .
Kiukweli Mkristo anaeamua kufunga anapaswa kuwa serious afunge bila kula chochote isipokuwa kila jioni kuanzia saa 12 na asile daku.
Ndio maana Mkristo wa kweli akifunga kwa muda wa siku nyingi lazima akonde awe kama kijiti kitu ambacho ni kizuri sana kiafya.
 
Habarini wakuu, mimi uhuru one nataka kujua muda sahihi wa wakristo kupata kifungua kinywa baada ya fungwa ya kutwa nzima.

Tukumbuke Ramadhani hii imeambatana na ndugu zetu nao wanatimiza funga ya kwa RESMA ila nataka kufahamu namna ya kufuturu, kwanini nimeuliza hivi???

Nipo kariakooo pale, lakini ofisi zote za pale tupo changanyikeni wakristo kwa waislam, ila kwa upande wa wakristo namuona mzee mmoja wa makamo ndio anaofunga tuu.

Sasa huyu mzee wa makamo alivyoonza tukawa tunafuturu wote pamoja, ila kuna siku ananishangaza kidogo anafuturu hata saa 5:50 jioni.

Yaani akimuona tu yule muuza futari anapita kuchukua oda basi mzee anamwambia niletee na kwemi baada ya dakika 10 futari imefika mzee anafuturu ukiangalia saa ni 5:45 au 5:55.

NINACHOWEZA SEMA KWAMBA HUYU MZEE KUFUTURU INATEGEMEA NA MUUZA FUTARI KAPITA MUDA GANI, YAAN HANA MUDA MAALUM WA KUFUTURU.

Ndio nimekuja na jambo hili nataka ufafanuzi wenu wakuuu
Haina formula
 
Kwa Habari ya toba na msahamaha sisi ni mfumo wetu wa maisha ktk kufanya hivyo.
Yeye alishamliza yote pale msalabani.
Hati ya mashitaka aliifuta.
Hivyo tunahesabiwa haki bure kwa njia ya Neema yake Yesu Kristo na sio kwa matendo.
Lakini mfumo wetu wa maisha ya imani unatutaka kuishi Kwa imani na kufanya toba kila tunapogundua kumkosa na Mungu na wanadamu badała ya kusubiri kipindi cha Kwaresma.
Sie swala la kwenda Hija Islael mji wa Betlejem sio amri. Sio agizo.
Ni uamue kwenda kama holiday au vacation kuongeza exposure yako ya historia ya maisha yako.
 
Habarini wakuu, mimi uhuru one nataka kujua muda sahihi wa wakristo kupata kifungua kinywa baada ya fungwa ya kutwa nzima.

Tukumbuke Ramadhani hii imeambatana na ndugu zetu nao wanatimiza funga ya kwa RESMA ila nataka kufahamu namna ya kufuturu, kwanini nimeuliza hivi???

Nipo kariakooo pale, lakini ofisi zote za pale tupo changanyikeni wakristo kwa waislam, ila kwa upande wa wakristo namuona mzee mmoja wa makamo ndio anaofunga tuu.

Sasa huyu mzee wa makamo alivyoonza tukawa tunafuturu wote pamoja, ila kuna siku ananishangaza kidogo anafuturu hata saa 5:50 jioni.

Yaani akimuona tu yule muuza futari anapita kuchukua oda basi mzee anamwambia niletee na kwemi baada ya dakika 10 futari imefika mzee anafuturu ukiangalia saa ni 5:45 au 5:55.

NINACHOWEZA SEMA KWAMBA HUYU MZEE KUFUTURU INATEGEMEA NA MUUZA FUTARI KAPITA MUDA GANI, YAAN HANA MUDA MAALUM WA KUFUTURU.

Ndio nimekuja na jambo hili nataka ufafanuzi wenu wakuuu
Kufunga hakuna maana yeyote na wala si thawabu, funga kama unataka hakuna wa kukulazimisha.
 
Itamsaidia kujua
Ukimsoma vizuri kuna negative connotations kwenye andiko lake. Ni kama vile anataka kusema kwamba huyu mzee wa Kigalatia anaharibu funga yake maana anakula kabla ya muda sahihi kama inavyotakiwa kwa wavaa kobazi. Na si ajabu yataibuka mapambano ya kidini hapa sasa hivi!

Anyway. Kwa Wagalatia (Wakatoliki) huku kufunga hakuna sheria ngumu kivile. Unaweza kujichagulia mwenyewe jinsi ya kuendesha funga yako. Unaweza kunywa maji tu. Au kupunguza tu baadhi ya milo isiyo ya lazima. Au hata kula ikifika saa 11 au saa 11:30 jioni maana Wakatoliki hawana mambo ya daku wala nini. Na kufunga siyo vyakula tu. Unaweza kufunga kunywa bia au soda. Kitu cho chote ambacho siyo cha lazima. Na hela hizo ukazipeleka kwa wenye uhitaji.

Kwa ujumla tu, kwa Wakatoliki huku mambo hayajakaa kihafidhina kama huko kwingine. Hivyo huyo mzee yuko sahihi.
 
Ukimsoma vizuri kuna negative connotations kwenye andiko lake. Ni kama vile anataka kusema kwamba huyu mzee wa Kigalatia anaharibu funga yake maana anakula kabla ya muda sahihi kama inavyotakiwa kwa wavaa kobazi. Na si ajabu yataibuka mapambano ya kidini hapa sasa hivi!

Anyway. Kwa Wagalatia huku kufunga hakuna sheria ngumu kivile. Unaweza kujichagulia mwenyewe jinsi ya kuendesha funga yako. Unaweza kunywa maji tu. Au kupunguza tu baadhi ya milo isiyo ya lazima. Au hata kula ikifika saa 11 au saa 11:30 jioni maana Wagalatia hawana mambo ya daku wala nini. Na kufunga siyo vyakula tu. Unaweza kufunga kunywa bia au soda. Kitu cho chote ambacho siyo cha lazima. Na hela hizo ukazipeleka kwa wenye uhitaji.

Kwa ujumla tu, kwa Wagalatia huku mambo hayajakaa kihafidhina kama huko kwingine. Hivyo huyo mzee yuko sahihi.

Hii comment yako sasa inaenda kuleta mapambano,hasa mstari wa mwisho 😂
 
Back
Top Bottom