Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Karibu na wewe uenjoyPipa na mfuniko mmekutana nini hichi sasa
Karibu na wewe uenjoyPipa na mfuniko mmekutana nini hichi sasa
Mzee WA chips? Mimi?Sijakuona kitambo mzee wa kiepe
Au demu wako huyu mnachezaKaribu na wewe uenjoy
Sio demu wangu ila tunacheza tu mpaka mda wa daku ntamuachaAu demu wako huyu mnacheza
Sijui kwa wengine, binafsi yangu nafungua kinywa saa 1830 ila ikishafika saa 0000 siweki chochote mpaka kesho tena muda huo wa saa 1830 na kuendelea.Nimekupata mkuu ndio elimu niliyokuwa nataka sio kwa ubaya
Hakuna andiko kwenye Biblia la kufunga wala kufungua...
Ukimsoma vizuri kuna negative connotations kwenye andiko lake. Ni kama vile anataka kusema kwamba huyu mzee wa Kigalatia anaharibu funga yake maana anakula kabla ya muda sahihi kama inavyotakiwa kwa wavaa kobazi. Na si ajabu yataibuka mapambano ya kidini hapa sasa hivi!
Anyway. Kwa Wagalatia huku kufunga hakuna sheria ngumu kivile. Unaweza kujichagulia mwenyewe jinsi ya kuendesha funga yako. Unaweza kunywa maji tu. Au kupunguza tu baadhi ya milo isiyo ya lazima. Au hata kula ikifika saa 11 au saa 11:30 jioni maana Wagalatia hawana mambo ya daku wala nini. Na kufunga siyo vyakula tu. Unaweza kufunga kunywa bia au soda. Kitu cho chote ambacho siyo cha lazima. Na hela hizo ukazipeleka kwa wenye uhitaji.
Kwa ujumla tu, kwa Wagalatia huku mambo hayajakaa kihafidhina kama huko kwingine. Hivyo huyo mzee yuko sahihi.
Acheni kona na kujitetea. Ukweli ni kwamba hamna andiko linalo elekeza namna ya kufunga wala kufungua, ndio maana mnajiamulia. Sasa huwa tunajiuliza ibada zenu zitakubaliwa vipi wakati hamna mafundisho ya moja kwa moja toka Yesu.
Katika ibada kongwe dunianii ni ibada ya kufunga,asikudanganye mtu, na katika msingi wa ibada ya funga ni kujizuia na kula na mambo maovu yote. Hakuna kufunga kuzini, au kuiba au kutukana pasi na kufunga kula.
Kwa ufupi, hamna mafudisho ya ibada zenu toka kwa Yesu, na hii sio kwamba mmependa bali hamna mafundisho hayo. Ndio maana ibada zenu kila mtu anatunga lake tu. Hili ni tatizo kubwa.
SawaSio demu wangu ila tunacheza tu mpaka mda wa daku ntamuacha
SawaKiepe i meant kipepe 😂
Typing error
Mkuu binafsi nimekuelewa.Wakristo hufunga kuanzia saa 5:59 usiku hadi jua likizama,... Yaani ikishafika saa tano na dakika hamsini na tisa huruhusiwi kula mpaka kukikucha alafu jua lizame ndio umekamilisha mfungo wa siku.
Hii maana yake ukila saa sita usiku au saa saba, nane au mchana utakua umekiuka hivyo hutahesabu umefunga.
Sasa huyo mzee atakua anaangalia jua likishazama ndio anafungua
Anajua
Aiseee!!🙄Akijua?
Ewaaa, kwahiyo hawa wanaofunga wanapata wapi mwongozo?Hakuna andiko kwenye Biblia la kufunga wala kufungua...
Wanazingua😇Mmepewa bundle la bure? Bwana Akijua? Na Bi. Amejua😅
🤣🤣🤣 Jamaa wameuteka uzi.Huyo mzee aje jamvini aone ubishi wa "akijua anajua"
Uzi unatrend ukiingia Sasa NI watu wawili tuu WA akijua kajua
Aiseee, kwahiyo kuna wagalatia na wavaa kobaz!!😁😁Ukimsoma vizuri kuna negative connotations kwenye andiko lake. Ni kama vile anataka kusema kwamba huyu mzee wa Kigalatia anaharibu funga yake maana anakula kabla ya muda sahihi kama inavyotakiwa kwa wavaa kobazi. Na si ajabu yataibuka mapambano ya kidini hapa sasa hivi!