Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]aisee!wasiokunywa pombe wanaume Mara nyingi wanakua vitombi balaaa!!!
Nikiskia mtu halewi najua ni player huyo 75% hachomoki!
[emoji817][emoji91][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nawajua nyinyi nshaexpiriensi mbonaa!asubuhi,mchana,ukitoka kuoga unavaa Mara huyu tayari![emoji2][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nikweli , Mimi kila napopata wasaa wa kupumzika na mwanamke wangu mara nyingi lazima tufanye sex.
Aahh so ili kuepukane nahayo basi nilazima uwe unatoka nakwenda kunywa pombe?.That was my view, muda mwingi utajikuta ni umbea na duu, mmegombea remote, mwisho wa siku unajikuta unafatilia vipindi vya Telemundo.
Basi kila mmoja ana ulevi wake [emoji1][emoji28][emoji817][emoji91][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nawajua nyinyi nshaexpiriensi mbonaa!asubuhi,mchana,ukitoka kuoga unavaa Mara huyu tayari![emoji2][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nakuelewa sana Gyole.Dhambi haionjwi
Aiseee unakila sababu ya kujiunga na Twaweza !!!.Wewe ukitaka kuhakiki angalia alivyoanza kuzungumzia Shunie anakunywa, nani wake hanywi, wanawezaje so and so.
[HASHTAG]#nothingpersonal[/HASHTAG], just my opinion.
Nakila ulevi unaraha yake... Maana mwanamke wangu. Navile naye ananipenda basi weeeee tumekutana yaaan mpaka haishi kunitaja taja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]kwa kweli
Kabisaaaaa na asikuambie mtu..hata nyinyi wanawake mnapenda izo mambo sanaaaa zaidi hata ya pombe ,tena ndo umpate anayekujulia kweli kweli uwiiiiiiii hutotaka asitoke .[emoji3][emoji3][emoji23][emoji16][emoji16]wacha wee!
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sana tuu!ukimpata mnaependana raha Sana mnacheza makida with affection!Kabisaaaaa na asikuambie mtu..hata nyinyi wanawake mnapenda izo mambo sanaaaa zaidi hata ya pombe ,tena ndo umpate anayekujulia kweli kweli uwiiiiiiii hutotaka asitoke .
Huo ndo ulevi wetu
Yaaaan weee acha, naizo mambo bana,mkutane wote mioyo imesisimka alafu mnapendana hahaahahah nishidaaaah juuu ya shidaaaahh.[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sana tuu!ukimpata mnaependana raha Sana mnacheza makida with affection!
Ohooooo sawa mambo sihayo sasa kwaiyo hapo ni ndege wafananao ivo mnaruka pamoja.
Maana daaah mie nawivu kwa mwanamke wangu nahuwa nataka kujua her Schedule throughout the day, sometimes naogopa hii " baby leo natoka na Friendz naenda kupata bia kidogo"..hapo nibora muwe watumiaji wote,ili mwende pamoja eti eeehh?.
Aya hongera Chapombe Shunie wa Davet muonjaji....yan testing tuuu !!!
Sasa hakikisha unamvuta vuta jamaa japo mlingane ktk unywaji ... Maana naamin km ni muonjaji tu, kuna siku atakuambia Uache unywaji na uwe muonjaji, ... Sijui utakua willing kuitikia wito wake?? .
Shunie na Davet
mahondaw na Smart911
Mambo ni[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
[emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji23][emoji3]mapenzi matamu mkipendana kweliYaaaan weee acha, naizo mambo bana,mkutane wote mioyo imesisimka alafu mnapendana hahaahahah nishidaaaah juuu ya shidaaaahh.
Binti wa watu haishi kukusimulia kwa dada na rafiki zake maana sio kwa maraha unayompa[emoji23][emoji23]
Achana kabisa na huo ulevi, hauchoshi yaan mkienda sawa kimapigo. Utajikuta hutaman masaa yaende[emoji1][emoji1][emoji1]
Huo ndo ulevi wetu ..we are good[emoji23][emoji23][emoji23]