Unamsumbua mtu kama vile ana figo yako mscheeeewww[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuzungushe tu hakuna namna namsumbua halafu ilikuwa saa 7 usiku kuona simu yangu akamute akaona naendelea tu kupiga ikabidi apokee tu yaani nikilewa salama ni upokee simu au uzime naweza nikakupigia mpaka asubuhi
Oooh nimekuelewa sana sasa hapo ni hivi mm nakunywa pombe davet sio mnywaji kihivyo yaani ila huwa anaonjaTchao[emoji108] ... Shunie wa Davet huyooo hahaha.
Unajua ndege wanaofanana ndio huruka pamoja , nmesoma na kuelewa ulichoandika 100% kwasababu na Akili. Binafsi mimi sinywi pombe na siwez kua na mwanamke mnywa pombe.
Naswali langu nihilo, Najamaa wako anakunywa pombe?.au hanywi?? . Kwa wapenzi watumia pombe, Huwa nilazima wanywe pamoja, au kila mtu na lake??.
Basi tu, nikujua ya upande wapili.... Sawa Shunie wa Davet !![emoji6]
Nampenda dada yangu geniveros!Yaan wewe ni kuharibu tu mada geniveros anahusikaje hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanafunzi anachosha na maswaliMsimfanyie hivyo mwanafunzi wetu jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiboko kabisa. Marafiki zetu wanatutaniaga tutoke tukanywe ila kununua bia mwisho 10 baada ya hapo kila mtu ajinunulie maana wengine wana matank tumboni.
Mi inategemea na hiyo siku kichwa kikoje. Kuna siku bia sita nalewa siku zingine hata 12 silewi [emoji23][emoji23][emoji23]. Hasa nikianza mchana ndo silewagi
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]pombe nzuri etiology
Kuna wengine wanaamkaga wagonjwa kabisa.Kila mtu na kichwa chake jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unamsumbua mtu kama vile ana figo yako mscheeeewww
Sio kweli bwana. Ingekue hivyo kina mimi tungeshaliwa sanaKama wewe ni Ke huwa inateremka mpaka chini hapo kwa kati, kuwa makini
Nampenda dada yangu geniveros!
Kaka acha ufisiSiku aikubali niite aisee atarud kwake anatambaa
Kuna wengine wanaamkaga wagonjwa kabisa.
Marahabaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shikamoooo dyadyaaa
[emoji24][emoji24][emoji24]Hayupo kajitoa jf
HahahahahaBalimi kiboko nshaionja nilipiga tatu nanilikuwa sijala cha mchana nilidata.