Natamani kujua utamu wa pombe!!!

Natamani kujua utamu wa pombe!!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuzungushe tu hakuna namna namsumbua halafu ilikuwa saa 7 usiku kuona simu yangu akamute akaona naendelea tu kupiga ikabidi apokee tu yaani nikilewa salama ni upokee simu au uzime naweza nikakupigia mpaka asubuhi
Unamsumbua mtu kama vile ana figo yako mscheeeewww
 
Tchao[emoji108] ... Shunie wa Davet huyooo hahaha.

Unajua ndege wanaofanana ndio huruka pamoja , nmesoma na kuelewa ulichoandika 100% kwasababu na Akili. Binafsi mimi sinywi pombe na siwez kua na mwanamke mnywa pombe.

Naswali langu nihilo, Najamaa wako anakunywa pombe?.au hanywi?? . Kwa wapenzi watumia pombe, Huwa nilazima wanywe pamoja, au kila mtu na lake??.

Basi tu, nikujua ya upande wapili.... Sawa Shunie wa Davet !![emoji6]
Oooh nimekuelewa sana sasa hapo ni hivi mm nakunywa pombe davet sio mnywaji kihivyo yaani ila huwa anaonja
 
Kiboko kabisa. Marafiki zetu wanatutaniaga tutoke tukanywe ila kununua bia mwisho 10 baada ya hapo kila mtu ajinunulie maana wengine wana matank tumboni.
Mi inategemea na hiyo siku kichwa kikoje. Kuna siku bia sita nalewa siku zingine hata 12 silewi [emoji23][emoji23][emoji23]. Hasa nikianza mchana ndo silewagi



Ukianza Serengeti light saa saba baada ya nyama choma..

Ikifika saa NNE ukala mchemsho ukaingia kucheki live bend unafuta cret moja.
 
Back
Top Bottom