Natamani kumcheki lakini nashindwa kwa kuhofia kuonekana dhaifu kwake

Of course we ni dhaifu so mcheki tu usije jitundika .ila kwa mimi kwenye kumnyamazia mtu nazani nipewe trophy plus kwa kazi zangu zinavyo nikeep bussy ukini nyamazia naweza kukusahau kabsaa
 
Tumejifunza kufunika kombe mwanaharamu apite kwa kuondoa mabishano ingawa kukaa kimya hutafsiriwa Kama mnuno. Tukiamua kuongea mahusiano yanakufa maana kuna wakati hamuwezagi kujishusha na hamchagui silaha ya kushusha kwenye moyo wa mtu.
Hamna wengine hakuna chochote ni kujinunisha tyuuu!!
 
7 billion people in the world..
Lakini ndio hivyo unapambana na limbwata or
you are too emotional and weak

Kwa mwanaume kiwa emotional kiasi hichi badala ya kitumia logic kwenye mahusiano it’s a disaster

Fouc kwenye mambo ya msingi stop worrying about sum dumb shi!t and drama
 
Muda ni rafiki mzuri sana,hakika utamsahau na kumfuta kabisa,
Kama wewe uwe ndo chanzo cha mvurugano mcheki haraka
 
Komaa tu nwenyewe ata bow aidha direct or indirect ukilegeza inakula kwako mazima
 
Thanks man i appreciate 🙏
 
Fanya vile unahisi moyoni mwako. Hawa wanaokuambia ukaze usimtafute nao wana ya kwao ni vile hawasemi. Mahusiano yako wewe ndio muamuzi wa mwisho, usikubali kumpoteza mpenzi wako kirahisi ati kisa utaonekana mnyonge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaza mtu mbadi. Ukimcheki utaonekana boya. Utoto raha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…