Natamani kumcheki lakini nashindwa kwa kuhofia kuonekana dhaifu kwake

Vuta bangi huyo mwanamke utamwona taka taka tu...

bangi ni tamu kushinda kum-a ya mwanamke πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kudadeki kula chuma hiyo
 
Guys mwenye LInk ya kutazama hii mechi online aiweke hapa... Maana mazingira niliyopo kwa leo si rafiki kupata sehemu ya kuangalia.
 
Unamiaka mingapi?
 
Akili za kuambiwa changanya na zako...wewe ndiye unajua mbivu na mbichi kwenye mahusiano yenu!!
Kama ishu ni ngumu iteme tuu.. kujishusha ni busara lakin inategemea na aina ya kosa!!
Mkuu mimi mwenyewe nime chuniana na demu kisa nilimwambia ukweli kwa kwanjia ya kumuuliza, nilimuumliza mbona nikikuhaidi nitakupata pesa unakuwa wa kwanza kuni charisma na kunipigia simu na nikisha kupa pesa tu unakuwa upokei simu zangu wala kijibu sms zangu za salamu, na nikamwambia nahisi wewe una mambo mengi. Aiingii akilini kwenye swala la pesa unakuwa unanisumbua kwa kunitumia sms na kunipigia kunikumbushia pesa niliyokwambia nitakutumia na nikishatuma tu una ninyamazia ata kujib sms.
 
Mnanyamalapa.

Moyo ni wako. Kifua ni chako. Upendo ni wako.

Usiwasikilize hawa wanaokushauri eti ukaze huku unaumia mwisho upasue ki capillary huko kichwani upate shock ya umeme kisa eti unaogopa kuonekana simp. Si ajabu hata wenyewe wanapambana na yao maana mapenzi hayanaga baunsa.

Kama kumcheki unaamini kutakupa unafuu, weka hiyo ego chini na mcheki tu kirafiki. Ila sasa kuna jingine. Vipi ukimcheki halafu akukaushie, utaweza au ndiyo maumivu yatazidi maradufu.

Nipo kwenye hali kama yako. Mi nimelimwa na bloku kila mahali hata jinsi ya kuwasiliana naye sijui. Ila moto unaniwakia maana huyu nilikuwa nimempenda kuliko mwanamke ye yote ambaye nimeshawahi kuwa naye. Ningekuwa naweza kuwasiliana naye mbona ningekuwa nimeshajiripua tu - potelea mbali hata anione weak au simp.

Hayanaga baunsa nzunawane! 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…