Natamani kumuona member huyu nipo tayari tuonane

[emoji23][emoji23][emoji23]mi mwenyewe sichomoki kwenye huu uziiiii ad kieleweke
Hapaa sitokii, afu sahivi analaumu simzingatii yeye, alimuambia nani anilete hapa.
Nabaki hapa hapa hadi final destination. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aweee!! Nipitwee na jambo hili afu? Wee kuwezaaa? Lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu Bibie kajua kusepa na kijiji ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Uzi unatembea kasi ya SGR
 
Nani amkubali domozege dadaaa,
Kujieleza tu hajui, halafu linajifanya kupaniki
Ooooooh DA marry wee hutaki kwenda Las Vegas? Miami? Los Angeles?

Fanyaa hivyoo na sie ndugu tuzamie hukoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaan anataka jimbo amiliki pekee, wakati watia nia ni wengi.
Hakuna kupita bila kupingwa hapa, lazima wajumbe wafanye yao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anataka kuvuruga uchaguzi ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Na ole wake apewe jimbo alilopambania masaa 20 halafu akamwage ndani ya sekunde 2..!! ๐Ÿคฃ
 
Hapaa sitokii, afu sahivi analaumu simzingatii yeye, alimuambia nani anilete hapa.
Nabaki hapa hapa hadi final destination. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwanini final destination lakiniiii ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ aaaarrrggghhh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umekaa kimbeaaaa ad kwenye uandishi
Mie na umbea ni humu tyuuh, humu tyuuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ooooooh DA marry wee hutaki kwenda Las Vegas? Miami? Los Angeles?

Fanyaa hivyoo na sie ndugu tuzamie hukoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Las Vegas wapi,mtu yupo bunju B hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ