Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
- Thread starter
-
- #41
Sasa huyu jamaa yako ana akili gani,jaribu kufuatilia comments zake,tangu kunakucha hadi saizi yupo mtandaoni kazi anafanya saa ngapiMpotezee na msamehe bure. Agiza mbili tatu hapo ulipo bwashee.
muandiko wa kiume huu muraNiko timamu tofauti na unavyodhani
π€£π€£π€£ bwashee sina nilie kosana nae humu nimsamehe nani? Pombe bado zipo nikiongeza nitakuambia masterMpotezee na msamehe bure. Agiza mbili tatu hapo ulipo bwashee.
Pole sanamuandiko wa kiume huu mura
Nitakutukana sikuzi ninatukana nimeona mnataka kunizoea kijana tafuta helaWeee huna hekaheka?
Mkuu umesema ukweli kabisa πBe smart
And just use social network for personal gain
Mnakosea Sana Mtu mmoja anapofungua multiple I'd na kujiita mwanamke haipendezi.
Ipo siku utahitaji msaada utakosa mssichukulie Poa JF ni kiwanda kikukbwa
Asante
Tangu lini hela inatafutwaNitakutukana sikuzi ninatukana nimeona mnataka kunizoea kijana tafuta hela
You mean no malice, corpse circumciser!I still repeat
No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary
Una maana ganiDemu mzuri(mrembo) huacha uzuri(urembo) uongee, hawa keyboard warriors ni polygons, nina ushahidi lukuki
Hii nakujibu kwa wivu mkubwa mimi nipo marekani ni daktari mwanafunzi now nipo jeshi kwa mafunzo na nalipwa pesa ndefu wewe kiazi unaniwaza ? Baba yangu anayo pesa mama pia akula pesa ndefu bongo bado urithi wa babu, acha ufala fuata mambo yako kiazi weweSasa huyu jamaa yako ana akili gani,jaribu kufuatilia comments zake,tangu kunakucha hadi saizi yupo mtandaoni kazi anafanya saa ngapi
Asante tajiriHii nakujibu kwa wivu mkubwa mimi nipo marekani ni daktari mwanafunzi now nipo jeshi kwa mafunzo na nalipwa pesa ndefu wewe kiazi unaniwaza ? Baba yangu anayo pesa mama pia nakula pesa ndefu bongo bado urithi wa babu, acha ufala fuata mabo yako kiazi wewe
Hapa ni burudani tu Marry Diana. Tufurahie na ku enjoy maisha. Ucheshi wako ni mzuri unafurahisha ndio maana tupo hapa kwako.Sasa huyu jamaa yako ana akili gani,jaribu kufuatilia comments zake,tangu kunakucha hadi saizi yupo mtandaoni kazi anafanya saa ngapi
Asante sana karibuHapa ni burudani tu Marry Diana. Tufurahie na ku enjoy maisha. Ucheshi wako ni mzuri unafurahisha ndio maana tupo hapa kwako.
Usiparimie kila I'd humu kiazi wewe, watu tunapenda ku socialize na kila mtu tangu zamani , mpaka kuja kwenye uzi wako ujue nimekuheshimu kama ndugu na mtanzania mwenzangu .Asante tajiri
Sihitaji heshima yako babuwee Kwanza jinsi ulivyojieleza nishajua ni muongoUsiparimie kila I'd humu kiazi wewe, watu tunapenda ku socialize na kila mtu tangu zamani , mpaka kuja kwenye uzi wako ujue nimekuheshimu kama ndugu na mtanzania mwenzangu .