Natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!!!!


mimi ni mwafrika wala sina uzungu wowote,ni muafrika pure

mie nasikia eti wakipenda wamekupenda labda nikashindwe mwenyewe na umakwenkwe wangu....,
 
hahaaa na mie mbona huwa natumia mega box,sa si itakula kwangu sasa,

Vibamia pia tatizo maana mitarimbo ya huku ni hatari aisee ila labda ntapata kifurushi cha maana

ngoja niendelee kutafuta

Teh teh teh.......kama unatumia mega box huko sidhani kama patakufaa labda uhamie airtel.
La sivyo itakuwa mambo ya twanga kotekote a.k.a thumni
 
Unataka wa nchi gani, yupo kutoka Sweden, ana miaka 65, anahitaji Mdada wa Kiafrika kama kama uko tayari ni-pm nikutumie e-mail address yake. Kuna kipindi nilifanya naye project kwa muda wa miaka 5 sasa, nikaona ana huruma sana na mbwa wake. Tukiwa tunaenda kazini ampeleka mbwa day care ya mbwa, jioni tunampitia anarudi naye nyumbani, mbwa akiugua naye anakuwa na mawazo kama vile ni mtoto. Hii ilinipa wasi wasi kuwa anaweza ku-share naye kitu chochote.
 

Ni PM email yake bana,maelezo mengi sana sijasoma hadi mwisho mie
 
Mi nilishasema, we siku hizi sijui ukoje....!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…