Natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!!!!

Natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!!!!

Jiandae kufujlkuliwa kinyeo chako,wapo wengi tu humu tena waitaliano tupo,hakikisha huri maharagwe kula mikate kwa sana usije toa haja kunmbwa kunako 6×6
 
muke.gif
muke.gif


Jamani mwenzenu natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!
nasikiaga wenyewe wana mapenzi ya dhati,wakikupenda
wamependa labda ushindwe mwenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

ila mzungu mwenyewe awe na hela,dhiki nilizonazo zinanitosha.

watu wanasemaga wengi wao wana Vi.bamia ila mi nataka kuolewa

hivyo hivyo hayo mengine yatajulikana mgele kwa mbele.....,

sijui Natalia amejifichia wapi labda angeweza kuniambia ukweli ni upi.....

kama kuna mzungu yoyote hapa JF naakaona hili bandiko jamani
Heaven on earth natamani kuwa
muke.gif

Wanawake wengi mjini wana ndoto hizo. Siwezi kusema ni vizuri au vibaya kila mtu na hulka zake.
 
Last edited by a moderator:
wahindi wabahiri bora mpare
We kabila la kwanza kwa ubahili hapa tz ni wakinga wakifuatiwa na wachaga then wapare labda na kuendelea huko, hawa watu nawafahamu so list inaweza badilika nitakapowafahamu wengine
 
Yani bora tu nisiolewe kuliko mzungu yani sijui huwa nawaonaje tu.....
 
Yani bora tu nisiolewe kuliko mzungu yani sijui huwa nawaonaje tu.....

kama hujapata mume nifuate pm
ila mi si mzungu ila hela ya kukutunza ninayo na nitakupa mapenzi ya dhati
kwanini ukaoleww bosinia au urusi kisa mzungu?
 
Hahah heaven nenda Kwa Nabii flora Africana uwa anaombea wanaotaka kuolewa na wazungu na according to testimonies Mwaka hawamalizi wanawadaka wazungu ..ndukii
 
kama hujapata mume nifuate pm
ila mi si mzungu ila hela ya kukutunza ninayo na nitakupa mapenzi ya dhati
kwanini ukaoleww bosinia au urusi kisa mzungu?

Sema haki ya mama hela unayo?Hebu nipe uhakika nitaenjoy maisha yangu yote
 
Hapa goba tuna mzungu mitaa ya kituo kinaitwa uyoga kajaribu bahati yako
 
Kama unamaanisha mzungu kitabia, njoo pm mamaa coz mm pia nahtaj mke mzungu kitabia sio rangi ya ngozi! Mpunga wa kutumia next 5yrs upo, mpaka uishe huu how much tutamake 4 the next miaka ijayo it depends mipangilio yetu ya maisha. Kama vp njoo pm!
 
Wala usihangaike kuzijua Heaven on Earth,

Mimi pia nataka kuoa mzungu akamsaidie bibi kula pensheni!

Ndiyo dunia yako....

BTW,..... you have a chance to live only once!!:eyebrows::eyebrows::eyebrows:

Babu DC shikamoo,

yaani hii thread ya siku nyingi jaman, mawazo yalishabadilika

we hilo swala la kutafuta mtu wa kumsaidia bibi kula penshen lishindwe na kulegea
 
Babu DC shikamoo,

yaani hii thread ya siku nyingi jaman, mawazo yalishabadilika

we hilo swala la kutafuta mtu wa kumsaidia bibi kula penshen lishindwe na kulegea

Usiwe na shaka HoE,

Mie nadhani mawazo yako yalikuwa valid...Huna sababu ya kubadilisha!
 
Back
Top Bottom