Natamani kupenda tena

Life fucks us all, nobody is safe. Usiruhusu maneno ya mtu yakudhuru mama. Chukua yale yanayokujenga, yale negative tupa kuleeeee.

Hakuna alie mtakatifu, kila mmoja anapambana na hali yake kivyake, yawezekana tunatofautiana kidogo tu. Wewe unatamani kupenda lkn haupendi kwasababu bado haujawa tayari/haujajiruhusu kupenda. Mwingine yuko kwenye mahusiano/ndoa lkn full mvurugo.
Kwahiyo jipe muda na muda ndio utaamua vyema kabisa. Uachie moyo, yalopita si ndwele.
 
ukipata mtu mwenye sifa unazozitaka lazima uumie tu hata kama atakupenda


kwahyo jiandae kuumia utakapompata lkn sikushauri ubague watu wkt huna uhakika wa kumpata huyo unaemtaka wewe kwasababu na yeye ana mapendekezo yake
 
Bhas ilo ni tatizo,kama unamvulia mtu usiyempenda,
Labda tatizo,itakuwa urefu wa zipu zao.
Nilijua sikumpenda nilivyomwambia namuacha na sikurudi nyuma, maana mimi ngumu sana kuacha mtu niliempenda na najua na yeye ananipenda.
 
Nilijua sikumpenda nilivyomwambia namuacha na sikurudi nyuma, maana mimi ngumu sana kuacha mtu niliempenda na najua na yeye ananipenda.
Pole kama una bahati ya kukutana na bamia, ila usijali utapata,fanya uchaguz sahihi.
 
Yes yes. hili ni jambo lingine, japo nilishapanga nikimpata mtu hatakutana na mwanangu kirahisi.
Wa kukutana nae ni yule ambae tayari mmeshapiga hatua ya kuelekea ndoani. Ila hao wa majaribio weka mbali na mtoto, usijemvuruga bure!!!
 
Bahati nzuri ni kati ya wanawake wanaume wengi wanawish kuwa nao. Nimeshapenda wanaume wawili na wote nilianza kuwapenda mimi japo walijiona wametumia nguvu kunishawishi ila nilikua tayari kabla hawajawaza kuwa na mimi.
Akili za Sisi wanaume unazijua kweli Wewe ??
kwahyo kama ndo hivo mbna umekuja huku kulalamika
 
ukipata mtu mwenye sifa unazozitaka lazima uumie tu hata kama atakupenda


kwahyo jiandae kuumia utakapompata lkn sikushauri ubague watu wkt huna uhakika wa kumpata huyo unaemtaka wewe kwasababu na yeye ana mapendekezo yake
Kama umejipa kazi ya Mungu hivi!! Lazima aumie hiyo vipi!! Kwani ni dhambi kumpata mtu mwenye sifa unazozitaka hadi umuwekee guarantee ya kuumia?!!!!!!!

How if huyo mwenye sifa anazozitaka ndio match yake maana nae huyu ndio mwenye sifa azitakazo?
 
Kuwa mkweli basi
Nimegundua kwamba wewe unamtafuta unaemtaka ..yaani unamwangalia mtu kwa wasifu Wa nje ...coz mwanaume anaekutokea Leo then umpende Leo Leo ..sina uhakika kama utamfahamu kiundani ...je unatumia njia kumgundua unaempenda wewe kama na yeye atakupenda
 
Wa kukutana nae ni yule ambae tayari mmeshapiga hatua ya kuelekea ndoani. Ila hao wa majaribio weka mbali na mtoto, usijemvuruga bure!!!
Sitak kabisa, mwanangu wamuone dp whatsapp tu.. maswala ya kumletea anko mpya kila siku siwezi. Hao maanko tunamalizana huko.
 
Sijasema kunitokea leo, labda tumekutana barabarani ntakupenda siku hiyo na tunavyoendelea kuonana tutajenga ukaribu ukaribu mpaka tunadate na story imeishia hapo. Kuanza kumchunguza mtu tutachunguzana taratibu tu tukiwa tunaendelea.
 
Kama nimemuelewa tatizo lake mmeligeuza. Tatizo lake sio kupata tu mwanaume ilimradi mwanaune, bali tatizo lake ni kupenda. Tatizo lake ni psychological zaidi kwa jinsi nilivyomuelewa
Between the line nahisi anahitaji sana mwanaume wa kumuoa. Sema hajagundua kuwa hao anaowapenda yeye siyo waoaji bali wanafuata chura sijui muonekano wake. Ushauri wangu asisikilize sana moyo wake. Akubali 'kujifunza kumpenda mwanaume' huko huko mbele kwa mbele. Akifanya hivi ataolewa mapema given qualities anazojipambanua kuwa nazo.

Halafu pia hajaelewa kuwa mtoto ni kikwazo kwa wanaume wengi when it comes to marriage. So she has to choose smartly kama kweli anahitaji kuolewa. Hao hao anaowavalia uso wa mbuzi sijui kuwa serious ndo angepata muoaji humo then ajifunze kumpenda taratibu huku maisha yanasonga.

Akiendelea na style yake ya kupenda anaowapenda tu ilihali ana mtoto na age ndo hiyo inazidi kupaa, akyamama wanaume watamchezea sana. Hapo najua wanafuata hiyo chura but when it comes to marriage wanalala mbele.

Yangu ni hayo, usiku mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…