kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,117
Hata mimi kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Life fucks us all, nobody is safe. Usiruhusu maneno ya mtu yakudhuru mama. Chukua yale yanayokujenga, yale negative tupa kuleeeee.Tatizo kuna watu wanaandika kama vile walowatoa bikra ndo wako nao, yani wanajitoa kwenye uhalisia kwamba hata wao walishapendana na magf zao wakashindwana bila hata hao gf kuwa wabaya.. naendelea kusubiri subiri akija sawa asipokuja pia maisha yataenda.
ukipata mtu mwenye sifa unazozitaka lazima uumie tu hata kama atakupendaMoyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yan wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
jini ndio awe anakomenti kwenye threads za Jf?Sasa ntakupendaje? nikipenda jini je??
Wakati mwingine hata kama unapenda kuna wakati inafikia inabidi tu uache kwa usalama wako.Sikumpenda hata, ningempenda nisingemuacha.
Pole kama una bahati ya kukutana na bamia, ila usijali utapata,fanya uchaguz sahihi.Nilijua sikumpenda nilivyomwambia namuacha na sikurudi nyuma, maana mimi ngumu sana kuacha mtu niliempenda na najua na yeye ananipenda.
Wa kukutana nae ni yule ambae tayari mmeshapiga hatua ya kuelekea ndoani. Ila hao wa majaribio weka mbali na mtoto, usijemvuruga bure!!!Yes yes. hili ni jambo lingine, japo nilishapanga nikimpata mtu hatakutana na mwanangu kirahisi.
Akili za Sisi wanaume unazijua kweli Wewe ??Bahati nzuri ni kati ya wanawake wanaume wengi wanawish kuwa nao. Nimeshapenda wanaume wawili na wote nilianza kuwapenda mimi japo walijiona wametumia nguvu kunishawishi ila nilikua tayari kabla hawajawaza kuwa na mimi.
Kama umejipa kazi ya Mungu hivi!! Lazima aumie hiyo vipi!! Kwani ni dhambi kumpata mtu mwenye sifa unazozitaka hadi umuwekee guarantee ya kuumia?!!!!!!!ukipata mtu mwenye sifa unazozitaka lazima uumie tu hata kama atakupenda
kwahyo jiandae kuumia utakapompata lkn sikushauri ubague watu wkt huna uhakika wa kumpata huyo unaemtaka wewe kwasababu na yeye ana mapendekezo yake
Sitak kabisa, mwanangu wamuone dp whatsapp tu.. maswala ya kumletea anko mpya kila siku siwezi. Hao maanko tunamalizana huko.Wa kukutana nae ni yule ambae tayari mmeshapiga hatua ya kuelekea ndoani. Ila hao wa majaribio weka mbali na mtoto, usijemvuruga bure!!!
Sijasema kunitokea leo, labda tumekutana barabarani ntakupenda siku hiyo na tunavyoendelea kuonana tutajenga ukaribu ukaribu mpaka tunadate na story imeishia hapo. Kuanza kumchunguza mtu tutachunguzana taratibu tu tukiwa tunaendelea.Kuwa mkweli basi
Nimegundua kwamba wewe unamtafuta unaemtaka ..yaani unamwangalia mtu kwa wasifu Wa nje ...coz mwanaume anaekutokea Leo then umpende Leo Leo ..sina uhakika kama utamfahamu kiundani ...je unatumia njia kumgundua unaempenda wewe kama na yeye atakupenda
Between the line nahisi anahitaji sana mwanaume wa kumuoa. Sema hajagundua kuwa hao anaowapenda yeye siyo waoaji bali wanafuata chura sijui muonekano wake. Ushauri wangu asisikilize sana moyo wake. Akubali 'kujifunza kumpenda mwanaume' huko huko mbele kwa mbele. Akifanya hivi ataolewa mapema given qualities anazojipambanua kuwa nazo.Kama nimemuelewa tatizo lake mmeligeuza. Tatizo lake sio kupata tu mwanaume ilimradi mwanaune, bali tatizo lake ni kupenda. Tatizo lake ni psychological zaidi kwa jinsi nilivyomuelewa
Ndio utambue kwamba mie sio jiniEeeh
Hongera sana mrembo!Iko sealed bado