Natamani kupenda tena

Kila heri mamy, Mungu ni mwema utapata hitaji la moyo wako.
Ila nakushauri usiangalie sana mwonekano wa mtu maana 'sura sio roho' anaweza kuwa na mwonekano uupendao lakini akawa na tabia usizopenda!
 
Nakushauri mtafute mwanaume Wa maisha yako na awe mumeo pia mzae watoto wazuri mkatekeleze amri ya mungu sawasawa na mapenzi yake ...umheshimu nawe akuheshimu ...lakini haya yote hayatakamilika kwa mwanadamu Dada ila ni kwa kumtanguliza mungu mbele ...ili akatete na mwanaume utakaekutana nae awe na hofu ya kumjua mungu ...naamini

Mwezi mwaka na siku kama ya Leo ..next year utakuwa unaishi na mumeo unaemtafuta na ataishi na mwanao kama mwanae na atampenda kwa dhati ...mungu akupe hekima na busara

By Living kereth
 
Nashukuru ila mie kwangu ndoa nii majaliwa, siwezi kuiwaza ndoa wakati hata ambae nitamaliza nae maisha yangu sina, ikitokea ndoa kheri ila nataka nianze na stage ya chini sitaki kukurupuka. Bora tuishie kwenye urafiki au uchumba lakini si kuingia kwenye ndoa sababu tu nampenda mtu. Niko tayari hata kuolewa ba miaka 40 ila nimpate nitakaempenda. Sijakata tamaa ya maisha bado kuwa na mwanaume ili tu niolewe. Asante kwa maneno yako lakini
 
Hongera sana mrembo!
Mmebaki wachache sana mabikira duniani
Usije ukamuuzi Mungu kwenye amri yake ya sita.kila la kheri!
Bikra??? hahahahahaa... sinayo mkuu. Nilimaanisha sijatumika muda mrefu
 
Kila heri mamy, Mungu ni mwema utapata hitaji la moyo wako.
Ila nakushauri usiangalie sana mwonekano wa mtu maana 'sura sio roho' anaweza kuwa na mwonekano uupendao lakini akawa na tabia usizopenda!
Asante dear.. nimekumiss lakini.
 
Amen kaka angu....
 
Njoo na mikoani labda utampata
 
Sifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo
Be patient 2 mpenz wak wa maixha anakuja soon 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…