Natamani kupenda tena

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Nashukuru mkuu
 
Its hard for young generation to get what you say.
 
Mzigua unatuaibisha watu wa Tanga fanya mpango uingie ndoani..
 
Njoo pm, Ni Mimi uliyekuwa ukinisubiri.
 
Kumbe tupo wengi, hata sijui ntakuwa mpweke mpaka lini......sijui ntapata ntakapofikisha miaka 50..manake hmm!!.
Hongera nyingi sana kwenu mlio kwenye ndoa,mahusiano na mnayafurahia mapenzi yenu. Hongereni sana.
 
Tatizo ni pale mzani utakapogoma kubalance kabisa.
 
Yaaani wewe uko kama Mimi ksbisa sema wewe mwanmke tu. Wadada wa dar wenyewe hawaaaminiki wanadanga mpka makanisani
 
Nawaonaga waongo waongo, nilishajaribu wawili ila wote hatukudumu hata mwezi nikawaacha japo wananitaka hata sasa hivi ila nimeshindwa..
Endelea kujaribu kwamwezi wa2 .miezi 12× 2 =24 So kwamwaka unagegedwa na wanaume 24 .
 
Ukikutana nae kesho tu anakugeuzia matatizo yake, kwanza lazma akuulize unafanya kazi wapi. Sasa akisikia uko taasisi iliyonona ndo matatizo yote atakupa, anadaiwa kodi,ada na mamayake nimgonjwa.
 
Duh! unapita pande gani hizo ambazo hawakuvutii? suppose umemwona anayekuvutia huko mitaani, utamwibukia siyo? maana mademu hamnaga courage ya kuwaibukia ma men.
 
Na hiyo mimba utampelekea nani? Umeachwa ndo unatafuta wa kulea mtotto
 
Ahahaha kwahio unanishauri nimpe shavu sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…