Natamani kupenda tena

Natamani kupenda tena

Endelea kusubir muda utaongea. Ila katika kusubiri huko omba mungu usije ukampata utakayempenda ww alafu yeye akupendi. Ndio utajua kuwa hata singeli za kihindi zipo pia n'a zinachezekaaa.

Yangu hayo tu mungu akupe subra katika kusubir umpate mtayependana na si kumpenda ww tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Nashukuru mkuu
 
Ulishawahi kujiuliza why walifundishwa hivyo?

But for ur information, mzani wa mapenzi haujawahi kubalance linapokuja suala la kupendana, especially at the first time. One loves more, and on the way the other one learns to love to balance the equation.
Its hard for young generation to get what you say.
 
Mzigua unatuaibisha watu wa Tanga fanya mpango uingie ndoani..
 
Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.

Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
Njoo pm, Ni Mimi uliyekuwa ukinisubiri.
 
Kumbe tupo wengi, hata sijui ntakuwa mpweke mpaka lini......sijui ntapata ntakapofikisha miaka 50..manake hmm!!.
Hongera nyingi sana kwenu mlio kwenye ndoa,mahusiano na mnayafurahia mapenzi yenu. Hongereni sana.
 
Ulishawahi kujiuliza why walifundishwa hivyo?

But for ur information, mzani wa mapenzi haujawahi kubalance linapokuja suala la kupendana, especially at the first time. One loves more, and on the way the other one learns to love to balance the equation.
Tatizo ni pale mzani utakapogoma kubalance kabisa.
 
Yaaani wewe uko kama Mimi ksbisa sema wewe mwanmke tu. Wadada wa dar wenyewe hawaaaminiki wanadanga mpka makanisani
 
Nawaonaga waongo waongo, nilishajaribu wawili ila wote hatukudumu hata mwezi nikawaacha japo wananitaka hata sasa hivi ila nimeshindwa..
Endelea kujaribu kwamwezi wa2 .miezi 12× 2 =24 So kwamwaka unagegedwa na wanaume 24 .
 
Ukikutana nae kesho tu anakugeuzia matatizo yake, kwanza lazma akuulize unafanya kazi wapi. Sasa akisikia uko taasisi iliyonona ndo matatizo yote atakupa, anadaiwa kodi,ada na mamayake nimgonjwa.
 
Duh! unapita pande gani hizo ambazo hawakuvutii? suppose umemwona anayekuvutia huko mitaani, utamwibukia siyo? maana mademu hamnaga courage ya kuwaibukia ma men.
 
Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.

Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
Na hiyo mimba utampelekea nani? Umeachwa ndo unatafuta wa kulea mtotto
 
Kuwa kwakwe na mtoto hakuondoi ubinadamu wake hata kidogo. Aliteleza lkn ktk kuteleza huko akajipatia zawadi ya kamalaika kasiko na hatia. Kama ana vigezo vya mwanamke unayemtaka unajivutia tu jiko lako. Ni vile hamjui tu, hawa wenye watoto tayari huwa wanalazimishwa kukua na maisha. Hivyo huwa wanajitambua sana na wakipata mwanaume anayejielewa pia wanakuwa wake wazuri sana.

Hao mnaodai ni fresh si ndio hao mnalia wanawakimbia mkifulia!!!
Ahahaha kwahio unanishauri nimpe shavu sio?
 
Back
Top Bottom