Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
- Thread starter
- #381
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Nashukuru mkuuEndelea kusubir muda utaongea. Ila katika kusubiri huko omba mungu usije ukampata utakayempenda ww alafu yeye akupendi. Ndio utajua kuwa hata singeli za kihindi zipo pia n'a zinachezekaaa.
Yangu hayo tu mungu akupe subra katika kusubir umpate mtayependana na si kumpenda ww tu.