Hivi kumbe haujaoa!!
Eeh na wewe kwa maswali, khaaa!!Kwahiyo sasa hivi unampenda au umeridhika tu!!
We ni mtaalamu wa saikolojia ya mapenziNikuibie siri hata sisi tunajifunza kupenda amini usiamini. Tena ni wanafunzi wazuri zaidi tukiamua kufanya hivyo kwa dhati ya upendo wenyewe na si gegedo. Upendo sio vile vifurushi vya dstv,mara compact,mara lite,upendo ni full package,Binadam yoyote yuko tayari kujifunza kupenda,kuna wale husema mwanaume hutamani kisha ndio hupenda, Nini humvusha kiumbe huyu kutoka kutaman mpaka kupenda? Sote tunajifunza kupenda,
hahaha ahsante mkuu ila Kapeace ni mjuzi zaidi na mzoefu, 10 kumi kasoro yandoa si jambo dogo kabisa. Unastahili kutufunza baadhi yetu hapa jukwaanWe ni mtaalamu wa saikolojia ya mapenzi
Tunafundishana mkuu, mi mwenyewe najishangaa yani kumbe nautafuta uhenga wa ndoani ndo vile niliolewa mdogo sana, kuna wakati nahisi km Nina miaka 3 au iv dah siku zinakimbia kwa kasi sanahahaha ahsante mkuu ila Kapeace ni mjuzi zaidi na mzoefu, 10 kumi kasoro yandoa si jambo dogo kabisa. Unastahili kutufunza baadhi yetu hapa jukwaan
Okey my kaka.Hiyo ya kuridhika hata sisi wanaume inatuhusu sana tu, kuna mahali nimeandika jana I think, kuwa 85% ya wanaume wanaoa ambao siyo wangependa kuoa. So ni suala la kubalance tu btn the expected and the one you have maisha yanasonga
Sio kila fursa ni fursa my kaka. [emoji12] [emoji12] [emoji12]Fursa hiyo sista kamata, jamaa anafaa kuwa baba wa watoto wako, ana mawazo ya kiutu uzima, hata ile kitu roho yako inapendaga kwake siyo tatizo sana[emoji12] [emoji12]
Hahahaaaa!! Ni ktk kutaka kujifunza my dear, si unajua tunajifunza kupitia experience zetu na za wenzetu!!!Eeh na wewe kwa maswali, khaaa!!
Tuma picha chaap. Wawekezaji tupo tayariSifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo