CHIEF MP
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 1,559
- 679
Kusema kweli umenigusa sana Mzigua90. Hata mimi nina uhitaji kama wako lkn Mchungaji alinisisitiza nisitumie nguvu kubwa kumpata mwenza wngu wa maisha. Nipo Mwanza, napitia kipindi kigum sana. Naona wanawake wengi wazuri lkn siwapendi. Navuta subira, naww vuta subira. There's right time, right place and right reason ya kumpata mwenza wako. Hata mimi niliwahi kuapa kutopenda tena mwanamke wa dar au wa mbali namim!
Keep your prayer to God!
Keep your prayer to God!