Natamani kupenda tena

Natamani kupenda tena

Kusema kweli umenigusa sana Mzigua90. Hata mimi nina uhitaji kama wako lkn Mchungaji alinisisitiza nisitumie nguvu kubwa kumpata mwenza wngu wa maisha. Nipo Mwanza, napitia kipindi kigum sana. Naona wanawake wengi wazuri lkn siwapendi. Navuta subira, naww vuta subira. There's right time, right place and right reason ya kumpata mwenza wako. Hata mimi niliwahi kuapa kutopenda tena mwanamke wa dar au wa mbali namim!

Keep your prayer to God!
 
Miracle loading...soon mzigua atanipenda na nishaandaa picha kabisa za kumtumia hapa nipo kwenye photo shop[emoji3] [emoji3]
Eeeh mungu endelea kubariki miujiza hii ipate kutimia/kutendeka..!
 
Nikuibie siri hata sisi tunajifunza kupenda amini usiamini. Tena ni wanafunzi wazuri zaidi tukiamua kufanya hivyo kwa dhati ya upendo wenyewe na si gegedo. Upendo sio vile vifurushi vya dstv,mara compact,mara lite,upendo ni full package,Binadam yoyote yuko tayari kujifunza kupenda,kuna wale husema mwanaume hutamani kisha ndio hupenda, Nini humvusha kiumbe huyu kutoka kutaman mpaka kupenda? Sote tunajifunza kupenda,
We ni mtaalamu wa saikolojia ya mapenzi
 
hahaha ahsante mkuu ila Kapeace ni mjuzi zaidi na mzoefu, 10 kumi kasoro yandoa si jambo dogo kabisa. Unastahili kutufunza baadhi yetu hapa jukwaan
Tunafundishana mkuu, mi mwenyewe najishangaa yani kumbe nautafuta uhenga wa ndoani ndo vile niliolewa mdogo sana, kuna wakati nahisi km Nina miaka 3 au iv dah siku zinakimbia kwa kasi sana
 
Hiyo ya kuridhika hata sisi wanaume inatuhusu sana tu, kuna mahali nimeandika jana I think, kuwa 85% ya wanaume wanaoa ambao siyo wangependa kuoa. So ni suala la kubalance tu btn the expected and the one you have maisha yanasonga
Okey my kaka.
 
Sifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo
Tuma picha chaap. Wawekezaji tupo tayari
 
Back
Top Bottom