Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Pm yake sijui ina hali ganiNamanisha hivi
Kam unangalia mvuto kwa wanaume hautampata mwanaume mweny mvuto....
Ila Kam utatafuta anayejua thaman ya mwanamke we mwenyew utafurah n kunikumbuka
Mimi ndio baba wa kamboKijana wetu keshakua mwaya had umtaftie baba wa kambo
Eapi huko? Na nikija huko ndio nitajua kwanini mtoa mada hapendi?Njoo huku!
check at 0624025570njoo kwangu tuu bbie
Tuwasiliane tuone namna ya kutatua tatizowanajiwekea hofu wenyewe
..promo at work..Bado hujaonana na mimi hakika naamini ungenipenda tu.
..wanawake hawajui tu,hata akiwa mzuri vp akiweka kiburi tu anafutwa!..sidhani kama unahakika na hilii ,kizuri hakijitangazi,huenda ukawa na tabia mbaya ndio maana jamaa akaamua kukupiga chini wanaume sio wajinga bana kumbuka tumeumbwa kwa mfano wa Mungu hahahahahahahaha
..nadhani anamtaka Malaika Gibril,..Unamtaka wa aina gani? Maybe vigezo vyako ndio tatizo. Mfano vile ulivyo hauatract wenye vigezo vile unavyovitaka.
Au bado haujawa tayari kupenda bado.
..kuna mwenzako nataka V8 wakati Mimi haka kapasso ni muujiza kuwa nako,..nilimuitikia kisha nikamuacha kimya kimya!..Wala hata. kwanini mnakimbiliaga kuwa tunachagua? mi sichagui aisee na naogopa sana wanaume wenye hela.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Mapigo heavy ndo yapi hayo??Yani wewe dada nakupenda sana .
Kwa sababu upo real. Huigizi unaishi maisha halisi na hufichi hisia zako.
Hadi natamani siku nikukamate nikupe mapigo heavy.
We acha tu.
Ndo nashangaa kuona Uzi huku..Embu nicheki kwenye Airtel yangu tuyajengeWe ushapita maombi ya nini sasa..
Nitafute whatsapp[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Mapigo heavy ndo yapi hayo??
[emoji8] [emoji8] [emoji8]Nimekupigia hupokei.... check whatsapp