Natamani kupenda tena

Natamani kupenda tena

sidhani kama unahakika na hilii ,kizuri hakijitangazi,huenda ukawa na tabia mbaya ndio maana jamaa akaamua kukupiga chini wanaume sio wajinga bana kumbuka tumeumbwa kwa mfano wa Mungu hahahahahahahaha
..wanawake hawajui tu,hata akiwa mzuri vp akiweka kiburi tu anafutwa!..
 
Wala hata. kwanini mnakimbiliaga kuwa tunachagua? mi sichagui aisee na naogopa sana wanaume wenye hela.
..kuna mwenzako nataka V8 wakati Mimi haka kapasso ni muujiza kuwa nako,..nilimuitikia kisha nikamuacha kimya kimya!..
 
Yani wewe dada nakupenda sana .
Kwa sababu upo real. Huigizi unaishi maisha halisi na hufichi hisia zako.
Hadi natamani siku nikukamate nikupe mapigo heavy.
We acha tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Mapigo heavy ndo yapi hayo??
 
Back
Top Bottom