Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Una frog?
Hahaha dah! Nimependa jinsi ulivyouliza, mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una frog?
Upendo hauna sababu, na upendo ulio na sababu ndio huwa unaisha. Na sio wote wanaooana wanaoana sababu ya upendo. Ndio kama hivi unakuta mmoja anapenda mwingine ameridhika tu, mwisho wa siku yanabakia kuwa mazoea tu.
Basi rekebisha hio post yako hapo juu maanake unajichanganya tu.
Hizo ndoa nyingi unazozizungumzia ndio kama hizo za kuridhika tu, sasa hapo unategemea nini zaidi!!!
Hauishi maana hao hawajapendana bali waliridhika tu. Tofautisha kupendana na kuridhika.
Kuridhika ndio kuna ukomo sio kupenda. Upendo unadumu.
Hebu tuelewane kwanza, "upendo" as upendo unadumu na hauishi, ila kuridhika ndiko kuna ukomo. Kuridhika ndiko kunachanganywa na upendo(upendo wenye sababu). Huo sio upendo bali ni ile unaamua tu kuridhika na mtu kwasababu fulani!!You contradict yourself.
Hakuna kisichokuwa na mwisho. Nikuulize swali lingine upendo unapungua?Hebu tuelewane kwanza, "upendo" as upendo unadumu na hauishi, ila kuridhika ndiko kuna ukomo. Kuridhika ndiko kunachanganywa na upendo(upendo wenye sababu). Huo sio upendo bali ni ile unaamua tu kuridhika na mtu kwasababu fulani!!
Hapana.Hakuna kisichokuwa na mwisho. Nikuulize swali lingine upendo unapungua?
Haya siku njema.Hapana.
Hahahaaa! Nawe pia.Haya siku njema.
kutokuwa na mahusiano ya kimwili kabla ya ndoa ni kitu kilichokusaidia zaidi vinginevyo saizi ungekuwa umeshachepuka sana na kuna uwezekano hata hiyo ndoa isingekuwa hai tena,kujifunza kupenda ukiwa ndani ya ndoa si jambo geni,wangapi katika sisi tumekutana na hao tunaopendana nao lakini hatufiki ktk hatua ya ndoa tunaishia kuumizwa au kuumizana? mie napinga kusema umeridhika isipokuwa umejifunza kumpenda huyo uliye nae,sikupi pole ila nakupa hongera,hakika wewe ni mwanamke wa nguvu.Hizi formula za sijui uolewe na best friend or soulmate ni mambo ya kufikirika,ni hadith tamu tu kama hadith zingine,Mie naamini kama mtu yupo tayari kujifunza kupenda,unaweza kuishi na yoyote yule. Pendo halina mipaka,vizingiti ni sisi na maumbile ya akili na fikra zetu.Nshapoa nimezoea saiv miaka 9
Nature yangu ni mwanamke so kujifunza kupenda ni rahisi kwetu ila kwenu sio rahisi coz mwanaume km hukumpenda binti mwanzoni ni ngumu kujifunza kumpenda lkn kwetu inatokea sana tu,kutokuwa na mahusiano ya kimwili kabla ya ndoa ni kitu kilichokusaidia zaidi vinginevyo saizi ungekuwa umeshachepuka sana na kuna uwezekano hata hiyo ndoa isingekuwa hai tena,kujifunza kupenda ukiwa ndani ya ndoa si jambo geni,wangapi katika sisi tumekutana na hao tunaopendana nao lakini hatufiki ktk hatua ya ndoa tunaishia kuumizwa au kuumizana? mie napinga kusema umeridhika isipokuwa umejifunza kumpenda huyo uliye nae,sikupi pole ila nakupa hongera,hakika wewe ni mwanamke wa nguvu.Hizi formula za sijui uolewe na best friend or soulmate ni mambo ya kufikirika,ni hadith tamu tu kama hadith zingine,Mie naamini kama mtu yupo tayari kujifunza kupenda,unaweza kuishi na yoyote yule. Pendo halina mipaka,vizingiti ni sisi na maumbile ya akili na fikra zetu.
Naona hapa unajichanganya,kuridhika hakuna ukomo. Ridhiko ni zao la upendo. Mfano kapeace amejifunza kumpenda mumewe na sasa ameanza kuonja ile ladha ya upendo kwa kuridhika nae. Kwani unapoamua kujifunza kumpenda mtu uliyenaye unafunga milango ya hisia,unajizuia na kupunguza kuanza kufikiria mambo yenye kukuuzi juu ya yule mtu na unaanza kufikiria yale mambo positives na taratibu utaanza kuona kumbe tatizo si yule mtu bali ni vile unavyomtafsiri kutokana na maneno ya jamii inayokuzunguka,mazingira etc. Mtu yoyote mwenye tabia zenye kupendeza anapendeka labda awe kinyume na hiyo topic nyingineKuridhika ndio kuna ukomo sio kupenda. Upendo unadumu.
tehe tehe teheWeka sifa!.....mimi sifa yangu ninayotaka ni moja tu nayo ni chura!
Asante mpenzi.. natamani atokee hata kesho
Sasa dada kupenda jinsi ulivyo c unamaanisha MWONEKANO au?Kuna mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema mwanamme huwa kinachomata kwa mwanamke ni APPEARANCE...Mwanamke kinachomata kwa mwanamme ni PERSONALITY...Huo ndo utofauti...so unaposema mtu akuoende kama ulivyo that's APPEARANCE...mawazo yangu lknSifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo
Nikuibie siri hata sisi tunajifunza kupenda amini usiamini. Tena ni wanafunzi wazuri zaidi tukiamua kufanya hivyo kwa dhati ya upendo wenyewe na si gegedo. Upendo sio vile vifurushi vya dstv,mara compact,mara lite,upendo ni full package,Binadam yoyote yuko tayari kujifunza kupenda,kuna wale husema mwanaume hutamani kisha ndio hupenda, Nini humvusha kiumbe huyu kutoka kutaman mpaka kupenda? Sote tunajifunza kupenda,Nature yangu ni mwanamke so kujifunza kupenda ni rahisi kwetu ila kwenu sio rahisi coz mwanaume km hukumpenda binti mwanzoni ni ngumu kujifunza kumpenda lkn kwetu inatokea sana tu,
Nashukuru kwa pongezi yako na kuuona uimara wangu na najikubali ktk hili la ndoa yangu i am a strong woman
Hiyo ya kuridhika hata sisi wanaume inatuhusu sana tu, kuna mahali nimeandika jana I think, kuwa 85% ya wanaume wanaoa ambao siyo wangependa kuoa. So ni suala la kubalance tu btn the expected and the one you have maisha yanasongaHiyo reality sio kwamba hatuifahamu maana sisi ndio waolewai hivyo hiyo ya kuridhika inatuhusu zaidi.