Natamani kuwa na mpenzi Mzungu lakini sijui nampataje

Natamani kuwa na mpenzi Mzungu lakini sijui nampataje

Facebook ni platform kubwa sana ndo inawatumiaji wengi Zaid ila wabongo na ulimbukeni wetu ndo tunajikuta tunajidai kuiona ya hovyo ila kule kuna connection kibao na watu wako lowkey hawna showoff kama huko insta na Twitter
Nakubaliana na wewe.
Nimekuwa na rafiki mzungu imefikua hali yakuwa Kama ndugu..
Sitaki kuandika mengi
 
Facebook ni platform kubwa sana ndo inawatumiaji wengi Zaid ila wabongo na ulimbukeni wetu ndo tunajikuta tunajidai kuiona ya hovyo ila kule kuna connection kibao na watu wako lowkey hawna showoff kama huko insta na Twitter
Kwahiyo ni rahisi kupata
 
Si kwa ubaya au nimedharau wadada wa kiafrica,No. Ni choice tu naona nitakuwa comfortable zaidi nikiwa na mpenzi mzungu.
Utamdharau wadada wa kiafrika😃😃😃
Wacha niishie hapa kwanza
 
Sikiliza tafuta laki nane tu jiandikishe pale ubalozi wa ujerumani kujifunza kijerumani hatua ya kwanza foundation laki nne na intermediate laki nne ni kama jumla miezi 9, pale kila alhamisi na jumanne kuna sinema jioni saa 1-4 usk ambazo huwa zinakutanisha staffs wa balozi za Uk, familia zao,marafiki, Canada, USA nk ila wote wazungu kwa ajili ya kujuana na kufahamiana ni fursa hiyo utakutana na mabinti wa kizungu wengi mno, tena tambua wazungu mabalozini wengi ni singles ila mpaka akuvulie au akukubalie my friend uwe royal mno lazima ajiridhishe vya kutosha akuvulii kirahisi rahisi, niliwapata sana pale, ila nimekua sasa nimeamua kutulia na Mu'asia [emoji23]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Naomba mawazo ya wazoefu wa kuinteract na wazungu.

Nahitaji msichana/mwanamke wa kizungu awe mpenzi wangu ila sielewi nifanyeje nimpate.

Nimejitahidi kwenda maeneo wanayopendelea kukaa haswa oysterbay/masaki lakini namna ya kuwaingia ni ishu maana wapo busy sana na mambo yao pia ni wagumu kumuamini stranger.

Kwa nini napenda mzungu??

Nimeona lifestyle yangu mwanamke tunayewrza elewana ni wakizungu tu, sihitaji kwenda nje au kupata mali kutoka kwao.

Nisaidieni ujanja washkaji...
nenda zanzibar kuwa beachboy na ishi your nature usi-act ustaarabu kama haunao, utawala hadi utasaza.
 
Naomba mawazo ya wazoefu wa kuinteract na wazungu.

Nahitaji msichana/mwanamke wa kizungu awe mpenzi wangu ila sielewi nifanyeje nimpate.

Nimejitahidi kwenda maeneo wanayopendelea kukaa haswa oysterbay/masaki lakini namna ya kuwaingia ni ishu maana wapo busy sana na mambo yao pia ni wagumu kumuamini stranger.

Kwa nini napenda mzungu??

Nimeona lifestyle yangu mwanamke tunayewrza elewana ni wakizungu tu, sihitaji kwenda nje au kupata mali kutoka kwao.

Nisaidieni ujanja washkaji...
Andaa kiasi Cha pesa nikupe connection

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom