Natamani Ma-Celebrity wa Bongo wangekuwa kama Ma-Celebrity wa Nigeria

mastaa wa kike wa bongo hawana walilobakiza zaidi ya kukimbizana na viben-10
 
Nigeria mbali mkuu .
Hapo kenya tu Akothee naona yko vizuri pia .Sema yule Dada nae kadata kama mwehu fulani hivi
 
Nigeria mbali mkuu .
Hapo kenya tu Akothee naona yko vizuri pia .Sema yule Dada nae kadata kama mwehu fulani hivi

Hahahahah
Hataree
wacha wauane huko Instagram maana sahivi wanaongelea jinsi walivyopelekana kwa waganga na nani mkali zaidi!
ahahahahahah
Shikamoo Wabongo
 
Halafu kingine nachoshangaa kutokana wingi wawo wa watu wanaotumia mitandao unakuta Celebrity mkubwa ana followers 100 K ila ukija Bongo Celebrity kajamba nani ana Followers Milioni 1.
page za udaku za watz zina followers wengi kushinda page za watu wanaotoa elimu ya ujasiriamali, msaada wa kisheria,elimu ya uraia nk.

hii inatoa reflection kubwa kuhusu kiwango na aina ya elimu waliyonayo vijana wa kitz.

ndio maana wabongo (wakiwemo mastaa na wadada wadangaji) hawapo active twitter cos ni ngumu sana kui entertain ujinga twitter ukapata followers 10K.

twitter ipo decent sana.
 
quavio wa tz
hahahahahah
nimekupenda bure Boss
 

Hata Wema Sepetu sianyo Degree nae
 

Ndio ni kweli ka comment kwa msanii wa bongo kurudi class utaambulia majibu ya shombo
 
Kutokujua kiingereza kwa wasanii wetu kunawapelekea kushindwa kufanya mambo nje ya nchi au kuibiwa na mameneja/mapromota uchwara wa bongo.

Kwa kiwango kikubwa movie, comedy na mziki umefaidisha zaidi wasanii Uganda na Kenya kuliko TZ.
Waliochomoza kwetu ni Diamond na late Kanumba tu.
Wanachoongoza kwetu hii followers wa social media na hits za you tube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…