Natamani Ma-Celebrity wa Bongo wangekuwa kama Ma-Celebrity wa Nigeria

Halafu kingine nachoshangaa kutokana wingi wawo wa watu wanaotumia mitandao unakuta Celebrity mkubwa ana followers 100 K ila ukija Bongo Celebrity kajamba nani ana Followers Milioni 1.

Kuna mahali niliona wakisema Princess Tiffah wa mondi ana followers wengi instagram kuliko mtoto mwingine yeyote wa celebrity wa umri wake akiwemo Blue Ivy wa Beyonce+Jay Z.

Ishu sasa ni kwa namna gani umaarufu wa social media unawaingizia hela bongo celebrity kuacha endorsement uchwara na malipo ya you tube...
 
You nailed it honey Money Penny
Tatizo la ma celebrate wetu ni kufake, yaani hata hiyo Prado unayosema anaendesha unakuta amehongwa na mbaya zaidi kadi ya gari yenyewe anayo mwanaume😀😀😀
Wameshindwa kuomba mitaji ili wafanye biashara na uwekezaji kwa manufaa yao ya baadaye, wao wanaomba wapangishiwe apartments Mbezi beach.
Ila Money Penny njoo uwape semina elekezi hao mastaa wetu angalau wajitambue sisi wanaume wa JF tutagharamia posho ya kujikimu na malazi😀😀😀
 
U nailed it.....bongo celebs wenye elimu kubwa eti O LEVEL tena kazungusha! Utatoboaje hapo kwa mfano?
 
Kama yule Ini Edo ana maapartments mia kidogo....yaan ye kila wiki anabadilisha ndinga mpya na za maana only!

Hadi Tonto Dikey mvuta bangi, kicheche nae tajiri mbaya yaan...chinekeeeee
 
Mpaka leo Wema, Wolper, Uwoya, Ant Eze wanaringishiana Nyumba za kupanga!
Hongera sana kwa dada Jide na SHISHI BABY mambo yenu si haba.
Sooon Shilole atawafunika hao hapo juu maaana anaonekana ana uchu wa maendeleo hataki kuuza sura.
 
Kaishia form four ana four ya 26 alienda Malaysia kasoma short course!!!

La kushangaza familia ya kwao ni wasomi. naona yeye tu ndio mbumbumbu.

Tatizo ni mama, amechangia kiasi kikubwa mfumo wa maisha ya mwanawe.
 
Porsche not porche
 
Umeandika upuuzi wa hali ya juu...
hujawaonea huruma kwa dhambi ya uzinzi waitendayo....hv mnajisahaulisha kama kuna kiama???pls tell .... people the good thing....usiwa encourage uzinzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…