Nickson Swai
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 597
- 549
Mmmhh sawa nimekupataSoma page 1 juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmhh sawa nimekupataSoma page 1 juu
Ukimsikia mama yake anavyoongea YouTube kuhusu mwanae kwenda kwa waganga utatamani umchape kibao anavyotoka povu mpaka mishipa ya shingo imemtoka kiru
Wanyaturu oyee!
MAMA TENA NITAKE RADHISipo kote huko ulivyoviandika mama
Waende shule wakasome mimi sio mwalimu au wakajifunze kwa WaNigeriA
Nimewacheki Mademu, Celebrities, Singo Maza, Madanga na Malaya waliokubuhu huko Nigeria, wala sijaenda pengine
Jinsi walivyoendelea, kila mwanamke ana maisha yake... wanamiliki Majumba, Wamewekeza kwenye Real Estates, Movie Industries, wamejenga Ma-Appartments... akaunt zao zinasoma Billion Nairas... Magari yao wanacheza kwenye BMW, AUDI, PORCHE Cars ... Wanalipa kodi...
Mwanamke ukimkuta Instagram anajidai lakini anajidai kwasababu ana maisha yake na hela zake ... na yupo Proud ...anasema kabisa mimi zamani nimeanza vibaya lakini sasa hivi nina wafanyakazi 50 mpaka 100 wananitegemea... haijalishi ulipoanza Mwisho ndio kila kitu, finali ndio kila kitu!
TUKIRUDI HUKU KWETU BONGO:
Wanawake kama hao hao wa Nigeria, wapo Buzy Instagram wanagombana nani kaenda kwa Mganga... sijui nani kampeleka mwanae kwa Mganga akiwa mtoto kwanza... sijui Mara Kuchambana... kiki za kijinga jinga... huko kwa Youtube ndio kabisa ni vituko... Kuzungukana na kuibiana Mabwana... sasa si bora muibiane Mabwana lakini muwe mnaenda Mbele kuliko kurudi nyuma!
Wengine Buzy wanapost mapicha wamepiga mamekapu ya elfu 70 kwenye akaunt hawana hata mia wanategemea wakadangwe
Tunaomba jamani Nduguzetu Mnaojiita Ma-Celebrity, Madanga Maarufu, Malaya mliokubuhu angalau basi mjifunze kwa nduguzetu wa Nigeria!
Nyie mkiendesha TOYOTA mnajiona mmefiiiiika! oh Nina Prado!
Tunaomba Wadada wa Kitanzania muamke basi Mtalala mpaka lini?
Mimi ndio maana nikiwa nje ya Africa wakiniuliza where are you from nasemaga Am from Ethiopia au Mouritious!
Kiru!
Ngoja niendelee kuandika hadithi mie!
Anaitia aibu familia yake kabisa.
KAMA ZAKO WEWESio celebrities tu ni karibia wanawake wote ndio jinsi mlivyo, akili fupi.
engineer unaishi kwenye engineer au kwenye jamii!Ndio hili umeniitia sio danga mama Mimi ni engineer
hatareeNi kweli mama wema ni sehemu ya kufeli kwa mwanae. Yaani yeye kila kitu ana sapoti tu sababu ni mama! Sasa inakuwa mama na mwanae kama vipofu wawili wanaoongozana!
Haiwezekani kuzungumzia failures za wema bila lawama kwa *****!
Ni kweli mama wema ni sehemu ya kufeli kwa mwanae. Yaani yeye kila kitu ana sapoti tu sababu ni mama! Sasa inakuwa mama na mwanae kama vipofu wawili wanaoongozana!
Haiwezekani kuzungumzia failures za wema bila lawama kwa *****!
YESUUUU NA MARIA!Ndugu zake kwa baba wamekua hawana ishu nae kabisa.
Mama mwenyewe alikua ni mchepuko tu naskia
Kwahiyo nifanyie nini huko kwenye kudanga mamaengineer unaishi kwenye engineer au kwenye jamii!
we wawap?
kwanza hujaulizwa proffession yako!
doh hataree!Kwahiyo nifanyie nini huko kwenye kudanga mama
Nimewacheki Mademu, Celebrities, Singo Maza, Madanga na Malaya waliokubuhu huko Nigeria, wala sijaenda pengine
Jinsi walivyoendelea, kila mwanamke ana maisha yake... wanamiliki Majumba, Wamewekeza kwenye Real Estates, Movie Industries, wamejenga Ma-Appartments... akaunt zao zinasoma Billion Nairas... Magari yao wanacheza kwenye BMW, AUDI, PORCHE Cars ... Wanalipa kodi...
Mwanamke ukimkuta Instagram anajidai lakini anajidai kwasababu ana maisha yake na hela zake ... na yupo Proud ...anasema kabisa mimi zamani nimeanza vibaya lakini sasa hivi nina wafanyakazi 50 mpaka 100 wananitegemea... haijalishi ulipoanza Mwisho ndio kila kitu, finali ndio kila kitu!
TUKIRUDI HUKU KWETU BONGO:
Wanawake kama hao hao wa Nigeria, wapo Buzy Instagram wanagombana nani kaenda kwa Mganga... sijui nani kampeleka mwanae kwa Mganga akiwa mtoto kwanza... sijui Mara Kuchambana... kiki za kijinga jinga... huko kwa Youtube ndio kabisa ni vituko... Kuzungukana na kuibiana Mabwana... sasa si bora muibiane Mabwana lakini muwe mnaenda Mbele kuliko kurudi nyuma!
Wengine Buzy wanapost mapicha wamepiga mamekapu ya elfu 70 kwenye akaunt hawana hata mia wanategemea wakadangwe
Tunaomba jamani Nduguzetu Mnaojiita Ma-Celebrity, Madanga Maarufu, Malaya mliokubuhu angalau basi mjifunze kwa nduguzetu wa Nigeria!
Nyie mkiendesha TOYOTA mnajiona mmefiiiiika! oh Nina Prado!
Tunaomba Wadada wa Kitanzania muamke basi Mtalala mpaka lini?
Mimi ndio maana nikiwa nje ya Africa wakiniuliza where are you from nasemaga Am from Ethiopia au Mouritious!
Kiru!
Ngoja niendelee kuandika hadithi mie!
Ndomana mi napenda zangu mwenye pesa ila asie maarufu tihtihtih
DOH!Niliwahi kukutana na Bongo movie Artist (jina kapuni) nikampa bia za kutosha sasa nikampa lift mpaka kwake Tandale kwa Tumbo gari inaishia barabarani ikabid nimsindikize kwa miguu mpaka kwake. Aisee anaishi pembezoni mwa Mfereji wa Maji taka. Nilipiga viwili nikasepa na kumblock mazima. Sitaki ujinga wa vizinga
ukimuona kwenye hizo movie anawaka ka katoka familia bora asee, kumbe kudanga.com njaa kali, wakat namgegeda akadai anataka nimpe mtoto (mimba) hatanisumbua, atalea yeye, kwa hali ya pale anapoishi sidhani kama hata kama yeye anajiweza kwa chakula hata kodi japo itakuwa kidogo lakini itakuwa inampa changamotoDOH!
Malipo ya Bia haya sasa, Mungu atunusuru wifi yangu mahondaw kiru!
NimekusomaSoma page 1 juu