Natamani nikupende asilimia mia

Natamani nikupende asilimia mia

Kumbukumbu haifutiki kabisa.

Mbappe hour😃😃

Ulikuwa ukinikera na argentina yako basi tu😄😄

Zitamfikia muda si mrefu kaka😘
Mbappe alipofunga goli la 3 ulivyoshangilia sasa!!😄😄.

Mwishowe Messi togwa akalitia mafuta ya taa.
Anyways,nisikutoe kwenye uwepo. Tuujadili uzi.
 
Ndugu ERoni tulia ndugu yangu…hapa nilipo nabembeleza mtu analia mfano hakuna.nimejaribu kumpa maji atulize kilio lakin wapi..

Nikaamua nijianzishie zangu uzi jf😆😆.

Seriously huyu phaller anaumia.

Msiseme nitume picha siwezi
Naelews hii shit...nshawah pata hii kibarua ya kubembeleza a lovesick person....anyways ndo mapenz yalivyo. Lazima mmoja ataumia sana kuliko mwenzake....hasa kama its heaven ordained...lakin kama unafukuza upepo utalia na bado it wont work out....
 
Hata sijamuuliza kama mtu wake anatumia jf
Hapana huyu chalii ni WA jf sema tokea akupate mliendana aisee nakuna mtu akapigwa za USO ukapewa wewe Siti ila baada ya kuja kutoa post hii ni baada ya mtu huyo kulike comment ya jamaa na jamaa hapendagi kucomment sana humu
 
Mbappe alipofunga goli la 3 ulivyoshangilia sasa!!😄😄.

Mwishowe Messi togwa akalitia mafuta ya taa.
Anyways,nisikutoe kwenye uwepo. Tuujadili uzi.
Yani wewe….nilikuona ulivyokuwa unaniombea mabaya Kwa Mbappe 😁😁
 
Naelews hii shit...nshawah pata hii kibarua ya kubembeleza a lovesick person....anyways ndo mapenz yalivyo. Lazima mmoja ataumia sana kuliko mwenzake....hasa kama its heaven ordained...lakin kama unafukuza upepo utalia na bado it wont work out....
Kiukweli hii kazi ni nzito mjombaa…

Hii kibarua imenichosha vibaya mno…
 
Hapana huyu chalii ni WA jf sema tokea akupate mliendana aisee nakuna mtu akapigwa za USO ukapewa wewe Siti ila baada ya kuja kutoa post hii ni baada ya mtu huyo kulike comment ya jamaa na jamaa hapendagi kucomment sana humu
Naona kuna kitu inaendelea na sijui 💞hebu nijuze
 
Thanks changu ...
Sikuona ngoja nitafute make siku hizi unanitenga sana
thanks Lee…

Ni muhimu sana maana Ali andika taarifa na siijui.

Mambo ni mengi dear lakini hata wewe pia umenitenga ujue
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom