Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Mwenye uzi wake😂Ni mcc nani tena jamani mbona mnanichanganya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye uzi wake😂Ni mcc nani tena jamani mbona mnanichanganya?
Mbappe alipofunga goli la 3 ulivyoshangilia sasa!!😄😄.Kumbukumbu haifutiki kabisa.
Mbappe hour😃😃
Ulikuwa ukinikera na argentina yako basi tu😄😄
Zitamfikia muda si mrefu kaka😘
Nimgande mara ngapi sasa😂😂😂Sasa nikikupa siri ya kambi si utaanza kumganda ndugu yangu…pambana😀😀
Naelews hii shit...nshawah pata hii kibarua ya kubembeleza a lovesick person....anyways ndo mapenz yalivyo. Lazima mmoja ataumia sana kuliko mwenzake....hasa kama its heaven ordained...lakin kama unafukuza upepo utalia na bado it wont work out....Ndugu ERoni tulia ndugu yangu…hapa nilipo nabembeleza mtu analia mfano hakuna.nimejaribu kumpa maji atulize kilio lakin wapi..
Nikaamua nijianzishie zangu uzi jf😆😆.
Seriously huyu phaller anaumia.
Msiseme nitume picha siwezi
Hapana huyu chalii ni WA jf sema tokea akupate mliendana aisee nakuna mtu akapigwa za USO ukapewa wewe Siti ila baada ya kuja kutoa post hii ni baada ya mtu huyo kulike comment ya jamaa na jamaa hapendagi kucomment sana humuHata sijamuuliza kama mtu wake anatumia jf
Mpaka uachwe mwili Kisa yeye??Nimgande mara ngapi sasa😂😂😂
Nimepambana sana ila naona kabisa nikiendelea kupambana roho itajaacha mwili.
Kiukweli hii kazi ni nzito mjombaa…Naelews hii shit...nshawah pata hii kibarua ya kubembeleza a lovesick person....anyways ndo mapenz yalivyo. Lazima mmoja ataumia sana kuliko mwenzake....hasa kama its heaven ordained...lakin kama unafukuza upepo utalia na bado it wont work out....
Naona kuna kitu inaendelea na sijui 💞hebu nijuzeHapana huyu chalii ni WA jf sema tokea akupate mliendana aisee nakuna mtu akapigwa za USO ukapewa wewe Siti ila baada ya kuja kutoa post hii ni baada ya mtu huyo kulike comment ya jamaa na jamaa hapendagi kucomment sana humu
NdiyooKwamba asiache mwili🤣🤣asikufe😆😆
Mmh hayaaNaona kuna kitu inaendelea na sijui 💞hebu nijuze
Mapenzi matamu ila usisahau kujikatia bima/bima ya penziSema kweli.
Wacha bhan🤣🤣