Natamani ningefeli shule

Natamani ningefeli shule

Aisee!!! Hata Mimi huwa najiuliza sana, yaani jinsi nilivyokuwa nafanya vizuri darasani, leo ni Kama nimeanza upya pale walipoanzia niliowaacha primary.

Ila kitu kimoja huwa naamini mwenyezi Mungu uwezo wa akili alionipa una kusudi lake, sikati tamaa naendelea kuangalia alternative nyingine ya maisha.
 
Umesomea fani gani chuoni na je umewahi kupata interview ajira portal?tuanzie hapo kwanza tujue shule yako hio level gan na course gn

Huyo mke uponae bado...? Kama bado upo nae unajutafutia matatizo yatakayokuletea shida kubwa sana
Mapenzi upofu mkuu, haya yanaonekana wakati nikiwa nishafunga nae ndoa ya kanisani
 
LIfe is all about perspective.. wewe unaangalia negatively.
Change the way you look at life utaona furaha kuu
 
I can feel your pain…man! Uzi wako unawakilisha majuto ya watu wengi sana hasa graduates…mtu anakaa nyumbani miaka 5+ bila kazi ya maana na hapati kazi ambayo alitarajia pamoja na elimu yake…! Inafika wakati anajuta kabisa kusoma anajuta kabisa kusomea alichosomea!

Ukweli ni kwamba wahitimu wa miaka hii hasa 2010 kwenda mbele wanapitia kipindi kigumu sana sana na wengi wana majuto na depression kubwa sana…mwingine unakutana nae unaweza fikiri hapati chakula kabisa lakini sio kweli bali ana majuto na sononana hatari …….

Kwakweli ni vigumu kuvaa viatu vya mtu aliyesoma vizuri na akasota zaidi ya miaka kumi mtaani kwakweli huyu mtu anahitaji matumaini makubwa na faraja ya aina yake kusonga mbele na kusimama!
……
Mkuu pole sana lakini ninachoweza kusema zidi kupambambana pengine hukupangiwa kupata kazi unayoitafuta pengine ni wakati wa kuangalia upande mwingine!

Lakini lamsingi unatakiwa kujua kuwa kujuta ni kujikatia tamaa na kumkatia Mungu tamaa…Mimi naamini kwa Mungu hakuna kuchelewa wala kuwai…Kwa kuwa Mungu amekupa uhai wapaswa kumshukuru kwa hilo….. usijute usijute …usijute ….Ungali hai….
 
Uba

Ubarikiwe mkuu
 
Kama ningefeli shule Ninayopitia Sasa bila Shaka nisingeyapitia.

Kama ningefeli shule bila Shaka ningeenda veta na Sasa ningekuwa na ujuzi Fulani.

Kama ningefeli shule bila Shaka jamii isingekuwa inaniangalia Kama inavyoniangalia Sasa,ningekuwa huru,nisingenyoshewa vidole ninapoendesha boda boda au ninavyopakia mchanga kwenye magari.

Kama ningefeli shule bila Shaka ningekuwa na amani, majuto niliyokuwa nayo ya kupoteza muda shule nisingekuwa nayo.

Kama ningefeli shule classmate wangu wasingejadili kila ninachofanya,maana saizi kila ninachofanya watu wanajadili , nikiuza viepe utasikia kunani kesho anauza chips siku hizi, nikiendesha boda utasikia kunani kesho kawa boda boda licha ya kufaulu kote kule.

Kama ningefeli shule bila Shaka nisingekuwa na ugomvi muda wote na mke wangu,maana naamini alinikubalia kwakuangalia ufaulu wangu,alijua nitakuwa mtu mkubwa na haijawa hivyo,kwasaaa ndani ya nyumba ni miguno na misonyoo isiyokuwa na mwisho.

Kama ningefeli shule bila Shaka ningekuwa na amani Sana.

Kunani kesho.
Kwasasa songea.
Pole sana kunani kesho wasalimie hapo lilambo , ukifika Chabruma sekondari wasalime sana Mwalimi Ndunguru na Madam Mgeni wambie nawapenda sana .
 
Umesomea fani gani chuoni na je umewahi kupata interview ajira portal?tuanzie hapo kwanza tujue shule yako hio level gan na course gn
Ajira portal kunanuka rushwa tupu!!
ahame iyo sehemu akafanyie biashara zake mahala ambapo hajulikani kabsa na mtu yeyote kuhus izo elim zke
 
I can feel your pain…man! Uzi wako unawakilisha majuto ya watu wengi sana hasa graduates…mtu anakaa nyumbani miaka 5+ bila kazi ya maana na hapati kazi ambayo alitarajia pamoja na elimu yake…! Inafika wakati anajuta kabisa kusoma anajuta kabisa kusomea alichosomea!

Ukweli ni kwamba wahitimu wa miaka hii hasa 2010 kwenda mbele wanapitia kipindi kigumu sana sana na wengi wana majuto na depression kubwa sana…mwingine unakutana nae unaweza fikiri hapati chakula kabisa lakini sio kweli bali ana majuto na sononana hatari …….

Kwakweli ni vigumu kuvaa viatu vya mtu aliyesoma vizuri na akasota zaidi ya miaka kumi mtaani kwakweli huyu mtu anahitaji matumaini makubwa na faraja ya aina yake kusonga mbele na kusimama!
……
Mkuu pole sana lakini ninachoweza kusema zidi kupambambana pengine hukupangiwa kupata kazi unayoitafuta pengine ni wakati wa kuangalia upande mwingine!

Lakini lamsingi unatakiwa kujua kuwa kujuta ni kujikatia tamaa na kumkatia Mungu tamaa…Mimi naamini kwa Mungu hakuna kuchelewa wala kuwai…Kwa kuwa Mungu amekupa uhai wapaswa kumshukuru kwa hilo….. usijute usijute …usijute ….Ungali hai….
Ofcourse , wengi wao wamebaki kupambana kupata vimia mbili wale na kuvaa vizuri alafu wanajirusha facebook kila uchwao ukijiuliza labda wana maisha jibu ni hapana wanafanya vile sababu ya mawazo waliyonayo na pia wanatamani labda jamii ijue kuwa wana maisha mazuri .

Guys , siwakatishi tamaa ila ninalo neno kwenu , acheni kuwaza kuwa ulipoteza muda kuwepo shule ila tambua uliongeza chochote kitakachokufaa maishani .

Zaidi napenda kuwakumbusha kuwa mnayo nafasi na mawazo ya kuamua leo kuondoa dhana potofu ya kuamini kuwa elimu uliyoipata ni lazima uajiriwe .

Anza leo kuamini na kuishi kwa kujua haukupata elimu ili uje kuajiriwa bali kuzitatua changamoto unazokutana nazo .

Dear rafiki zangu , mnaowajibu wa kuamini kuwa dunia imebadilika inahitaji akili nyingi na nguvu kidogo ila karatasi ya darasani haitoshi kama hauna uthubutu na kujituma hivyo nipende kusema kitendo cha kuilaani Elimu mnakosea sana .

Zaidi waza unavukaje mabonde yaliyo mbele yenu .
Leo nakutumeni tena kwenye jamii mnazoishi , kawatizame walimu , madaktari , manesi , maaskari na kada zinginezo maisha wanayoishi alafu njoo kwangu nikunong'oneze .

Hao wenye hizo kada walitamani kuajiriwa kama ninyi na kweli wakapata hizo nafasi ila nipe walau watu kumi walio katika hizo kada walio na maisha mazuri yakukutisha ?

Come on friends of mine , watakuwepo wawili kati ya sita , lakini unajua mafanikio yao ni nini ? Ni nyumba ya kuishi , gari la kutembelea nalo utembea siku za mama Samia zikiwa on fire lakini vipi wao ni kuwa walijiwekeza hapana ni big no wengi wao ni mikopo ndiyo maana hawang'ai sura japo mnawaona wametoboa .

Sikatai kuwa hawana mafanikio wote ila ni mmoja katika kumi aliye na maisha bora tena ya kujiwekeza pembeni ambaye leo ukimuambia acha kazi haoni shida .

Sasa rafiki zangu wasaka ajira still unahitaji kuingia kwenye mtego ule ule ?

Utanijibu nataka niingie kutafuta mtaji [emoji3][emoji3] Rafiki mtaji ni wewe na ideas ila sio mikopo katu huendi mbali nature itakukamata .

Aisee itoshe kukuambia jitafute kwa jasho lako na nguvu zako utafika uendeko .

Mungu awasaidie na awatie nguvu katika upambanaji wenu .

Mwenzenu nipo Mbeya Pazuri kwa sasa hapa Mbeya naendelea kumalizia hela ya Mkopo niliochukua ABSA .

Karibuni na poleni sana .
 
Nenda kasome short course veta uingie mtaani upambane kama Simba aliejeruhiwa all the best mpambanaji mwenzangu
Hakuna kukata tamaa
 
Back
Top Bottom