Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe uko na heshima zakooYeap inawezekana ukadharauliwa na katoto humu mkuu
Ume dharaulika wewe na nani mkuu wangu, mie usinijumuisheBasi nitakua soon maana nataka tulete mabdiliko humu tumechoka kudharaulika
Unaonekana Ni Aina ya mtu mwenye dharau sana
mabadiliko hayo yaanzie kwako.Hahaha hapana mkuu lakini nataka tulete mabadiliko
IndeedAnza na wewe; sisi wengine tayari tunatumia majina na picha halisi na maisha yanakwenda. Jiamini.
Na hapa naperuzi kwa Siri,ili nyapara asinione Kama Nina simuSabaya huyu huyu ninamsikia au mwingine hhahahah
Ingependeza kabla ya kupandisha mada hapa,ungejitafakari kwanza je ww upo kweny hayo mabadiliko?Napenda sana jf iwe na watu kama wewe maana una usubutu mkuu hongera na mimi soon naweka zangu