Natamani sana kila member humu wa JamiiForums atumie jina na pamoja na picha yake halisi

Natamani sana kila member humu wa JamiiForums atumie jina na pamoja na picha yake halisi

Sasa picha inasaidia nini?

Siku hizi vijana wanakunjiana hadi ngumi na wazee mitaani picha tu ya mtandaoni imshtue!
Hhahah ndio mkuu ila member wengi humu jf wanachukuliwa poa sana
 
Sawa,Mimi jina langu naitwa
Lengai Ole Sabaya.

Umeridhika mleta mada.
 
Anza na wewe; sisi wengine tayari tunatumia majina na picha halisi na maisha yanakwenda. Jiamini.
Hongera sana mkuu na mimi soon naweka details zangu za ukweli humu
 
Mbona mimi natumia Jina halisi na picha halisi
Napenda sana jf iwe na watu kama wewe maana una usubutu mkuu hongera na mimi soon naweka zangu
 
Napenda sana jf iwe na watu kama wewe maana una usubutu mkuu hongera na mimi soon naweka zangu
Ingependeza kabla ya kupandisha mada hapa,ungejitafakari kwanza je ww upo kweny hayo mabadiliko?
Ww mwenyw unatumia feki id fake avatar halafu unawashawishi wengin wabadilike why?
Labda Unajambo lako mfukoni
 
Back
Top Bottom