GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ya Kwanza ( #1 )
Kibaka / Mwizi anabebwa na Watu Wawili tu kama Maiti inavyoingizwa katika Jeneza kisha ANATIKISWA ( ANACHEKECHWA ) mara Saba ( 7 ) kisha anaachiwa na baada ya dakika 15 tu anawahishwa Mochwari iliyoko Jirani nae Kusubiri Kuzikwa.
Ya Pili ( #2 )
Kibaka / Mwizi akikamatwa tu hapigwi kama ilivyozoeleka kwa miaka mingi bali humwagiwa Mafuta ya Taa Masikio yake yote Mawili kisha anaambiwa atembee kama Hatua 15 mpaka 25 na baadae Jina lake linabadilika rasmi na kuanza kwa Kuitwa Marehemu Kibaka / Mwizi.
Ya Tatu ( #3 )
Kibaka / Mwizi akikamatwa tu wakati akihojiwa na Waliomkamata kuna Mwamba mwingine pembeni anachanganya Saruji ( Cement ) na Mchanga katika Kikombe cha Uji au Chai kisha Kibaka / Mwizi analazimishwa Kunywa ambapo akibugia tu hiyo Saruji ( Cement ) iliyokorogewa katika Kikombe pamoja na Mchanga ndani ya dakika Kumi ( 10 ) anatuacha rasmi duniani huku Nyumbani Kwao tukianza Kuona Maturubai ya Huzuni na Huruma yakiwekwa na Nyimbo za Pambio zikiimbwa na baadhi ya Ndugu Waliokuwa Wakifaidika nae wakianza Kulia kwani wanajua Jamaa Akizikwa tu Msoto na Maisha magumu yanaanza.
Shikamooni nyote tu mliozianzisha.