Natamani sana Kumjua huyu 'Mwamba' aliyebuni hizi Mbinu Mpya za 'Kuua' Vibaka / Wezi Wasumbufu Uswahilini

Kwanin ulete hapa vitu ambavyo huna uhakika navyo? aacha majibu ya hovyo.Story yoyote ikitangazwa kwa chombo chochote cha habari ukitaka kupata uhakika wake kawaida unamtafuta aliwasilisha.
Damn Fool.
 
Kitu kingine nikuwapa mitaji na elimu na usimamizi na kuwasamehe bure kama Mungu wetu anavyotusamehe kwa makosa na kutuepusha bila kujali unajinsi wetu
Katika kitu cha kijinga ni hiki. Unakumbuka mbokoo kigamboni alienda hadi kwa mkuu wa wilaya na akapewa mtaji 1m hivi na akaahidi kubadilika ila 2021 akauliwa kwakua alikua anaendelea na wizi. Ukishazoea kuiba kazi za halali unaziona ngumu
 
Sasa ni zamu ya majizi yote yaliotajwa na CAG kuchekechwa Kama hao vibakaa wa mtaani!!
 
Dah huu ni ukatili wa Hali ya juu SANA
 
Hii ya cement kweli
 
Duuh,ilikuaje baada ya hapo ?aisee
 
Vibaka wadogo wadogo wanakera na adhabu zao uwa kubwa kuliko wale vibaka wanaoiba pakubwa kupitiliza huku wakiendelea kutumia gari za umma,nyumba za umma na wakiwa wanapigwa viyoyozi huku wakituona mazoba
 
Hivi ushahidi unakitoshekeza hadi kuchukua where mkononi ? Wengine wanauawa bila kosa .mmm mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…