Natamani sana Ndoa za dini ya Kiislamu " Its the best marriage Ever"

Asherati hauna maana hiyo. Katafiti uelewe tofauti ya uzinzi na uasherati

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Sawa ila nakwambia siku zote watoto wanajifunza kupitia wanayo yaona,usitegemee mtoto ambaye kakosa malezi ya baba na mama akajua umuhimu wa ndoa au familia.
Uko sahihi kabisa jamii huharibika au kutengenea kutokana na malezi wanayoyapata haswa wakiwa watoto pale ndo wanacopy aina ya maisha watakayoishi peleleza wazazi mkiwa mchagui la kusema mnatukanana na kugombana mbele ya watoto . Na watoto hua na tabia ya Ugomvi na matusi mbele za watu bila kujali
 
Sio kutukanana mkishatengena jua kabisa mwanao hatoona umuhimu wa ndoa au kuwa na familia.
 
nilijua tu hii itaishia kwenye UDINI shame on u ulie leta mada ...aibu yako


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
je parle Hata ya kikristo ukumbini ni mbwembwe zako tu....ukimpenda binti mnakaa pande mbili mkikubaliana mnaenda kwa mchungaji au padre anawafungisha ndoa na cheti chenu juu,ndoa tayari....
Acha kukuza sana mambo hiyo yote wengi hamna pesa za kufanyiia hizo sherehe....wenye pesa mbona wanafanya hizo sherehe???!!
 

Naunga mkono hoja
Kuhusu utandawazi ni kweli kabisa
Ukiangalia leo takwimu za ndoa kuharibika au crime ni nyingi sana kuliko miaka iliyopita
Najua wengi watasema populations zimeingezeka laa
Hata tabia za watu zimebadilika sana kwa sababu wengi hawafunzwi maadili na hawajali kwa sasa
Nilipo huku vijana wanaranda mitaani baada ya shule na matokeo yake wanapigana visu kila siku
London kwa mwezi vijana zaidi ya 50 wanapigwa visu na wengi kupoteza maisha
Ni dini zote tu vijana wamekuwa watukutu sana
Ndoa zinaharibika kwa sababu hawafuati misingi ya dini



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Muda si mrefu utakuwa Iman wetu, endelea kufuatilia mengi katika uislam na mengi Sana utayajua. Ila nimependa sana ulivyochambua baadhi ya mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilijua tu hii itaishia kwenye UDINI shame on u ulie leta mada ...aibu yako


Sent from my iPhone using JamiiForums
Nikusihi ndugu yangu Usiogope kujadili dini Ogopa kuthihaki dini ya mtu maana Imani ya mtu nia zaidi ya yy mwenyewe ndo maana Mafundisho ya dini yanazidi akili ya mtu ni kwa sababu akili ilotumika Si ya kibinaadamu ni ya Mungu na haita fika siku mwanaadamu na shetan wakafikia hata kichembe cha kusudio lake .Ndo Maana kwa Mkristo mwenye Imani na kushika maandiko Suala LA mke 1 na ndoa ya milele Si tatizo kwake .Na Muislam kuoa wake wengi na kuacha Si tatizo kwake kwa Mujibu wa Imani yake na Mafundisho yake
 
True mkuu ,hata mimi ni muumini wa ndoa za mitala au za kiislamu kuliko za ki kristo japo sitaki kuwa muislamu ila natamani nioe muislamu hawana complications na wanaridhika
Hata marais waislam si unaona mwenyewe tofauti
 
Hupo sawa sana kijana.Hivi wana wa Israel wametokana na mama wangapi vile?.[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani nini usiwaulize waumini wenzako kina Flora Mbasha?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ni wangapi hapa Tanzania wamepigwa mawe mpaka wakafa??

Unaposema kila mtu anasepa na alichotafuta huu ni uongo. Kama unaona sawa kuongopa basi it's ok no problem
 
Hili swali no 1 nila Yakobo kabisa a.k.a Israel.Maana taifa teule na barikiwa limetokana na mama wa 4.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Swali no 2.
Furaha yoyote utokana na uhuru.
Au wewe hata huu msemo "HIYARI YASHINDA UTUMWA" haikufikirishi?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kaangalie Qur an 4:3-4
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Hoja nzito sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…