Natamani siku moja depal au leejay 49 awe mama watoto

Natamani siku moja depal au leejay 49 awe mama watoto

Haya mama , neno lako kwangu nisheria , nipo tayari kuzunguka na ww ndani ya hii nchi mpaka nchi zawatu, jambo lamsingi ni wewe kufurahi tu nakuona wacheka ukitabasamu lile tabasamu lako tamuu, pia napenda mideko yako, maana ukideka na kununa ndio nafurahi zaidi, maana napata wasaa mzuri wakukumbeleleza na kukulea kama mtoto mchanga. Karibu sana ndani ya moyo wangu mtoto mzuri Unique Flower 🌹. Nakupenda kipenzi nakupenda sana.
Valentine ulikuwa wapi??
 
Back
Top Bottom