RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Basi mkuu wewe utaishi maisha marefu, mm sipendi kwanza mwanamke anaongea sana, sipendi mtu ambae ukikaa muda wote hakuamini.Mi mbona ndio nilivyo mkuu, nilishasemaga siwezani na watu wastaarabu 😂😂😂
Mimi napenda hekaheka sitaki penzi lipoe, muda wote ni kuchachuana humo ndani..