Natamani siku moja depal au leejay 49 awe mama watoto

Natamani siku moja depal au leejay 49 awe mama watoto

Babu, Lamomy mjuu wako kasema yeye hapendi mwanaume kama mimi Husband material na mwenye sifa ya big boy a.k.a pochi nene, yeye anataka Bad boy wale wahuniwahuni wanaompiga matukio. Kwahio Mimi nimeamua nitulie na Unique Flower .
Nitazungumza naye, nitamwambia asipime Kitabu Kwa kuangalia kava peji

Kuna badboys pia wenye sura za kipadri.....wakipewa chakula wanakula hadi wanaosha sahani Kwa kulamba
-------
Nilisema waiter asinichanganyie K~Vant na safari larger yeye hakusikia 🤗
 
Back
Top Bottom