YoooooWacha weee!!
πππ Mchukue da Mau mimi huniwezi PashaMie natamani Lamomy na shoga yake Unique Flower wawe mama watoto.
Mchukue da Mau jirani huyo mtaendana sana πππHapana mimi nahitaj mtotoo Lamomy na shoga yake Unique Flower hawa Mimi ndio nimefika .
Babu mimi aninunulie plot Mbweni πππUnavyoona huyo Unique Flower ataweza kukubali awe bi mdogo Kwa Lamomy ?
Kwa kuwa wote ni Wajukuu zangu, muhimu ulete mahari tu, japo Unique Flower alisema kabla hujamchumbia umnunulie IST ya kwendea Sokoni π
Kazi kwako Mkwe π€
Mkuu Lamomy Kwa nini nikushindwe wakati mimi nimiongoni mwa big boys. Au wewe hutaki ku hang out na big boy?.πππ Mchukue da Mau mimi huniwezi Pasha
Wee ππππNimecheka sana mpwa, lakini kiukweli mie Lamomy na Unique Flower itabid basi unichugulie mmoja.
Au nikiona sielewi itabidi niende na wewe bibi yao.
Nshaomba Lamomy .Wee ππππ
Huyo ni babu yetu, bibi yetu ni Fai
Omba msamaha kwa babu
Hapo ndio huwa nacheka wanawake nyinyi hamjawahi kujua mnataka nini.π π π Ukipata bad boy ukapigwa tukio mnatukumbuka sisi husband material.Mi napenda bad boyz kichwa changu hakitaki watu wastaarabu kabisaaaa πππ
Jirani huo mjibu mkavu πππLabda huyo mwingine, me nishawahiwa my friend.. Asanteπ
Mi mbona ndio nilivyo mkuu, nilishasemaga siwezani na watu wastaarabu πππHapo ndio huwa nacheka wanawake nyinyi hamjawahi kujua mnataka nini.π π π
VizuriNi majike na usiniulize nimejuaje
Shemeji mbona km umepata mshtuko!! πππππ
I Miss u mwmwa makope kope yoteRich auntie wacha nijiandae kulea
Aririririii Depal
Utaniharibia mume usingekujaShemeji mbona km umepata mshtuko!! πππππ
Vipi kwema?? Hi shem π
Jamani weweππ₯ΉJirani huo mjibu mkavu πππ
Valentine ulikuwa wapi??Haya mama , neno lako kwangu nisheria , nipo tayari kuzunguka na ww ndani ya hii nchi mpaka nchi zawatu, jambo lamsingi ni wewe kufurahi tu nakuona wacheka ukitabasamu lile tabasamu lako tamuu, pia napenda mideko yako, maana ukideka na kununa ndio nafurahi zaidi, maana napata wasaa mzuri wakukumbeleleza na kukulea kama mtoto mchanga. Karibu sana ndani ya moyo wangu mtoto mzuri Unique Flower πΉ. Nakupenda kipenzi nakupenda sana.