Natamani siku moja depal au leejay 49 awe mama watoto

Natamani siku moja depal au leejay 49 awe mama watoto

A ha ha ha Lamomy nijirani yangu huyu, niliomba anipangishe chumba kwake akakataa kuwa ntamsumbua lakini nikisu hatari , nampenda kinoma nimepanga jirani na nyumba yake . Unique Flower yeye nimgomvi magomvi kidogo kwahio nikiwa nahawa wawili package imekamilika. Wewe mpwa wangu, nasubili ukichukua NSSF ndio nijisogeze.
Unavyoona huyo Unique Flower ataweza kukubali awe bi mdogo Kwa Lamomy ?

Kwa kuwa wote ni Wajukuu zangu, muhimu ulete mahari tu, japo Unique Flower alisema kabla hujamchumbia umnunulie IST ya kwendea Sokoni 😜

Kazi kwako Mkwe 🤗
 
Nimecheka sana mpwa, lakini kiukweli mie Lamomy na Unique Flower itabid basi unichugulie mmoja.

Au nikiona sielewi itabidi niende na wewe bibi yao.
 
Babu u
Unavyoona huyo Unique Flower ataweza kukubali awe bi mdogo Kwa Lamomy ?

Kwa kuwa wote ni Wajukuu zangu, muhimu ulete mahari tu, japo Unique Flower alisema kabla hujamchumbia umnunulie IST ya kwendea Sokoni 😜

Kazi kwako Mkwe 🤗
BAbu utakuwa mchepuko nakupendaje?? Mie napenda Ist na pia saivi napenda gari fulani amazing nitamwambia 🍎🥰😍😍
 
Toka ujue stori ya vishimo unanisumbua sanaaaa msichana
nilikutuma ulete matangazo?🤪🤪🤪
U know am taken? Mwambie basi mtoa mada.
Changamka mwili na akili wewe komwe, huyo C.H Hajawawahi hata kukuanzishia uzi. Kaka wa watu anakupenda wazi wazi mbele yetu sisi wachawi,😀😀😀 halafu unajishaua am taken, i know huko PM mmesha panga na majina ya watoto tayari 🤣 🤣 🤣. Nashukuru kwa kuniachia.
 
Back
Top Bottom