RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Asante mamaa nakupenda.HAya wercome to the city of joy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mamaa nakupenda.HAya wercome to the city of joy
Toka ujue stori ya vishimo unanisumbua sanaaaa msichanaAikooooooo! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 kuna mtu mashimo ya mashavu yataongezeka leo
Twende outing kagera tukatokee ugandaAsante mamaa nakupenda.
Unavyoona huyo Unique Flower ataweza kukubali awe bi mdogo Kwa Lamomy ?A ha ha ha Lamomy nijirani yangu huyu, niliomba anipangishe chumba kwake akakataa kuwa ntamsumbua lakini nikisu hatari , nampenda kinoma nimepanga jirani na nyumba yake . Unique Flower yeye nimgomvi magomvi kidogo kwahio nikiwa nahawa wawili package imekamilika. Wewe mpwa wangu, nasubili ukichukua NSSF ndio nijisogeze.
U know am taken? Mwambie basi mtoa mada.Aikooooooooo! Mtoe au uwachukue wote mbili 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 yachukucha yachukuchaaa yachukuuuuuchaaaa
Usihofu mama nipo Kwa ajili yako, nipe tu time table imekaaje.Twende outing kagera tukatokee uganda
😁😁!!Depal achana nae, tutakuja kupigana makofi.
Nimecheka sana mpwa, lakini kiukweli mie Lamomy na Unique Flower itabid basi unichugulie mmoja.Unavyoona huyo Unique Flower ataweza kukubali awe bi mdogo Kwa Lamomy ?
Kwa kuwa wote ni Wajukuu zangu, muhimu ulete mahari tu, japo Unique Flower alisema kabla hujamchumbia umnunulie IST ya kwendea Sokoni 😜
Kazi kwako Mkwe 🤗
BAbu utakuwa mchepuko nakupendaje?? Mie napenda Ist na pia saivi napenda gari fulani amazing nitamwambia 🍎🥰😍😍Unavyoona huyo Unique Flower ataweza kukubali awe bi mdogo Kwa Lamomy ?
Kwa kuwa wote ni Wajukuu zangu, muhimu ulete mahari tu, japo Unique Flower alisema kabla hujamchumbia umnunulie IST ya kwendea Sokoni 😜
Kazi kwako Mkwe 🤗
Huyu ni babu wa hapa utasemwa ongea vizuri ili babu awe na uchaguzi mzuriNimecheka sana mpwa, lakini kiukweli mie Lamomy na Unique Flower itabid basi unichugulie mmoja.
Au nikiona sielewi itabidi niende na wewe bibi yao.
Hapana ni mmasai aliyeingizwa mjini kitamboo saivi uwezi mtapeli ni handsome japo ana 80 yake yupo na bibi yake wanaenjoy maisha bado mafao lakini wewe nikama mjukuu wake tuMimi nilijua ni bibi.😃
Hatare.🤣🤣🤣!! Yerewiiiii
nilikutuma ulete matangazo?🤪🤪🤪Toka ujue stori ya vishimo unanisumbua sanaaaa msichana
Changamka mwili na akili wewe komwe, huyo C.H Hajawawahi hata kukuanzishia uzi. Kaka wa watu anakupenda wazi wazi mbele yetu sisi wachawi,😀😀😀 halafu unajishaua am taken, i know huko PM mmesha panga na majina ya watoto tayari 🤣 🤣 🤣. Nashukuru kwa kuniachia.U know am taken? Mwambie basi mtoa mada.