Natamani siku moja depal au leejay 49 awe mama watoto

Natamani siku moja depal au leejay 49 awe mama watoto

nilikutuma ulete matangazo?🤪🤪🤪

Changamka mwili na akili wewe komwe, huyo C.H Hajawawahi hata kukuanzishia uzi. Kaka wa watu anakupenda wazi wazi mbele yetu sisi wachawi,😀😀😀 halafu unajishaua am taken, i know huko PM mmesha panga na majina ya watoto tayari 🤣 🤣 🤣. Nashukuru kwa kuniachia.
Unajua wewe ni mjinga? 🤣🤣🤣

muulize Glenn ameshapewa taarifa. Mjomba mkuu.
Nyie wengine hata msipokuwa na taarifa mimi hainihusu mahii.
 
Hivi nikiwa free tutajiibia
Haya mama , neno lako kwangu nisheria , nipo tayari kuzunguka na ww ndani ya hii nchi mpaka nchi zawatu, jambo lamsingi ni wewe kufurahi tu nakuona wacheka ukitabasamu lile tabasamu lako tamuu, pia napenda mideko yako, maana ukideka na kununa ndio nafurahi zaidi, maana napata wasaa mzuri wakukumbeleleza na kukulea kama mtoto mchanga. Karibu sana ndani ya moyo wangu mtoto mzuri Unique Flower 🌹. Nakupenda kipenzi nakupenda sana.
 
Siku moja natamani sana @Depal au @Leejay49 awe mama watoto wangu msiniulize ni kwanini.

Loading failed

2fab94a61eb8a000be6e4bf190fa9534.gif
 
Back
Top Bottom