Natamani Watanzania tuanzishe Sanduku la kuchangia nguo tusizozitumia kwa wenye uhitaji

Mkuu tembea hata nchi kubwa duniani uone…

Ukienda UK wana donation bins kila mtaa, Zimewekwa maalum kwa makubaliano ya nchi, nenda pia marekan wanazo donation bins za kuweka vitu bora usivyovitumia ni tofaut na dust bins… maana yake unachoona hakikufai kuna mwingine kwake ni ndoto..
Umejuaje nipo huko unapo niambia nitembee?

Huwa ukisikia nchi zilizoendelea unafikiria nini?
 
Lakini kwa nini usiextend zaid hadi kwenye kutoa chakula mfano anza na watoto wa mitaani utabarikiwa sana
 
Wapi uko mkuu nahitaji kutoa zangu pia
Moshi Kilimanjaro
IMG-20260526-WA0001.jpg
 
Umejuaje nipo huko unapo niambia nitembee?

Huwa ukisikia nchi zilizoendelea unafikiria nini?
Mkuu mimi UK nimekaa yan nimeishi wana system nzr sana uwez kuta mtu anachoma vitu vinavyoweza kutumika… Donation ya nguo ni worldwide try to be positive
 
Sasa UK na Tanzania ni sawa?
 
We usituharibie dili

Sie huku kwetu shati la mtumba la buku karume mtu analima 10*10

Heka unalima kwa buku 7*2 shi kumi na tano.!

Nb: chunga komwe lako litaleta maafa
 
Hali ya watanzania wenzetu vijijini hairidhishi, nawaza hata tungeanzisha visanduku vya misaada ya nguo ambazo hatuna matumizi nazo ili ziwasaidie wengine huko.
Huu ni utaratibu wa kila mwaka kwa Kanisa Katoliki. Huwa tunaalikwa kupeleka nguo hizo Kanisani wakati wa Pasaka au Jumuiya ndogondogo zinajipanga kama sehemu ya majitoleo yao wanapeleka hizo nguo kwa wahitaji!
 
Back
Top Bottom