Natamani Watanzania tuanzishe Sanduku la kuchangia nguo tusizozitumia kwa wenye uhitaji

Natamani Watanzania tuanzishe Sanduku la kuchangia nguo tusizozitumia kwa wenye uhitaji

Hii nchi nyie acheni tu, ukitembea vijijini unaweza kurudi na depression.
Wa kijijini nao wakati mwingine ni kukosa exposure tu lakini uwezo wa kuvaa vizuri wanao sana tu! Siku hizi vijiji vingi vina hela sana tu kutokana a kilimo, sema watu wa kijijini nimeona wanapenda kujilizaliza sana
 
Good idea, ilo mkono wa CCM ukiingia tu kati zitauzwa kama Mitumba huko kwenye uhitaji.
 
Na mimi juzi kati nilifika kijiji kimoja cha Manyoni, Singida mmh hali ni mbaya sana huwezi amini kama ni waTanzania wenzetu hao unaweza kuhisi upo zile nchi zenye vita na njaa,
Mimi hua natoa nguo, viatu na mikoba vya familia yangu yote naziweka nje ya geti dakika 10 nyingi hukuti kitu, nimepanga safari ijayo nizipeleke kwenye hicho kijiji nadhani nitakua nafanya hivyo sana,
Hongera sana kwa wazo zuri.
 
Wa kijijini nao wakati mwingine ni kukosa exposure tu lakini uwezo wa kuvaa vizuri wanao sana tu! Siku hizi vijiji vingi vina hela sana tu kutokana a kilimo, sema watu wa kijijini nimeona wanapenda kujilizaliza sana
Ni kweli nilikuwa vijiji vya songwe kuna ukanda wanalima buni sijui kahawa karibia kila nyumba wana shamba walau heka 2 ila alooo hali ya maisha, hasa mavazi ni kasheshe kubwa sana halafu kuna vipindi vya baridi unakuta mtoto amevaa kashati kamechanika!
 
Nina nguo nyingi nzuri na sina ndugu wa kumgawia… siwez kuzichoma ni nzuri nazipenda natamani nigawie wenye uhitaj pekee.. Hiki ndicho nilichonacho kikubwa ninachoweza kugawa
mkuu tuwasiliane. niko Kibaha, kuna wahitaji nawajua,utasaidia sehemu ya tatizo
 
Kanisa katoliki Wana utaratibu, unapeleka na wao wanapelekea wahitaji.
Shuleni,, onana na walimu wao wanajua watoto wenye kuhitaji zaidi.
Hilo ni jambo zuri hongera.
Tatizo likishafanywa tu na taasisi ya dini watu watapenyeza ajenda ya udini.
 
tunaongelea wenye uwezo wa kudonate kile kizuri kinachoweza kuwafaa wengine… Sio nguo iliochoka bali ni nguo inayofaa kuvaliwa na mtu mwingine
Zikusanye wapelekee watu wa kijijini kwenu. Sisi home tuna utaratibu wa kwenda kijijini kila mwaka kwenye masuala ya kifamilia mfabo misa kuwaombea ambao washakufa. Kwahiyo ikifika safari tunakusanya nguo na viatu tunapeleka.

Ukitaka hiyo ishu iende viral nina uhakika utakua disappointed sana. Bongo upigaji kila sehemu. Hizo nguo na viatu mzigo utakusanywa utachambuliwa vizuri vitauzwa kama mitumba. Matambala tu ndio yatapelekwa uko vijijini. Kila mmoja asaidie tu yeye mwenyewe direct kwenye cycle yake. Lakini kutaka kufavya kwa ushirikiano wajanja lazima wafanye yao
 
Mi mambo ya kujitolea nafanya sana.... Huo ubaguzi haipo mana nguo ,, ada na vifaa vya shule wanapokea watu wa dini zote.
Huu ubaguzi nauona mtandaoni
Kibongo bongo changamoto ni nyingi. Kama una nafasi ya kusaidia msaidie tu ambaye anahitaji msaada kwenye cycle yako. Haya mambo ya kushirikiana utaishia kuwa disappointed tu
 
S
Kibongo bongo changamoto ni nyingi. Kama una nafasi ya kusaidia msaidie tu ambaye anahitaji msaada kwenye cycle yako. Haya mambo ya kushirikiana utaishia kuwa disappointed tu
Sina taasisi wala sishirikiani na mtu.
Nafanya binafsi.
Kutoa unafki nasaidia yoyote ndani ya uwezo wangu na sio lazima awe kwenye cycle yangu
 
Scandinavia countries unapeleka tu kwenye red cross clothing container
Wao ndiyo wanajuwa wapi
Wa kuwapelekea !
Nyingi wanazileta africa sasa huku sijui kama zinawafikia wahitaji maana kiukweli nguo,viatu zao ziko kwenye hali nzuri sana mtu akizipata anaweza hata kuzitundika hapo karume akauza

Ova
 
Nani avae makapi? Tena ya mbongo mwenzie. Hivi mnawachukuliaje watz
 
Nani avae makapi? Tena ya mbongo mwenzie. Hivi mnawachukuliaje watz
Kuna watu wana uhitaji wa hizo nguo..
Mtumba wanaovaa tu wabongo huku nao hko nje
Hutolewa msaada,watu huwa wanaenda wanafanya
Wanavyojwa kuzipata mnaletewa huku mna vaa

Ova
 
Back
Top Bottom