Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Kwamba kila ukienda kijijini uwanunulie nguo,kwa uchumi gani mkuu. Hata wakati bado nipo home dogo alikua akipitia kabatini kwangu kuna nguo kaielewa ananiambia bro hii niachie au kiatu changu kakielewa ananiomba. Sasa kama mdogo ako unamuachia tu kuna ubaya gani ukiwapelekea ndugu wenye uhitaji uko vijijiniMimi naona ni Bora kumnunulia mtu nguo mpya kuliko kumpa uliyovaa wewe.