The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Kwake hilo hafikiriiwe mi mwehu, utakuja kupigwa jambia za uso.
Chadema Bana ,hii team lissuYani natamani na nina hamu sana zali la kupigwa kwa kula hadharani mchana badala ya usiku mwezi huu linipate huko Zenji.
Patachimbika maamae huo mkono ntakavyoutembeza. Yani ngumi za uhakika.
Chaliifrancisco gTurn hydroxo Malaria 2 Adiosamigo Mpaji Mungu PSL god mshamba_hachekwi min -me Jagina Ritz gallow bird ielewemitaa inamankusweke
Nyau de adriz
Maarass 🤣Yani natamani na nina hamu sana zali la kupigwa kwa kula hadharani mchana badala ya usiku mwezi huu linipate huko Zenji.
Patachimbika maamae huo mkono ntakavyoutembeza. Yani ngumi za uhakika.
Chaliifrancisco gTurn hydroxo Malaria 2 Adiosamigo Mpaji Mungu PSL god mshamba_hachekwi min -me Jagina Ritz gallow bird ielewemitaa inamankusweke
Nyau de adriz
team lissu na chedema inahusika vipi na upuuzi wa imani za kidini?Chadema Bana ,hii team lissu
Atachakazwa na majambia mpaka aombe poo.we mi mwehu, utakuja kupigwa jambia za uso.
[emoji23][emoji1787][emoji1787]Yani natamani na nina hamu sana zali la kupigwa kwa kula hadharani mchana badala ya usiku mwezi huu linipate huko Zenji.
Patachimbika maamae huo mkono ntakavyoutembeza. Yani ngumi za uhakika.
Chaliifrancisco gTurn hydroxo Malaria 2 Adiosamigo Mpaji Mungu PSL god mshamba_hachekwi min -me Jagina Ritz gallow bird ielewemitaa inamankusweke
Nyau de adriz
Simple utetezi tu “Nilikuwa napambana nilipovamiwa na watu wasiojulikana baada ya kunivamia from nowhere“ then waendesha mashtaka watafafanua ni sheria ipi Tanzania hii inaruhusu kikundi cha watu kumkamata mtu mzima na ndevu zake wasiyemjua akitumia hela zake halali kula anachokitaka tena hadharani jua la utosi bila kulazimisha kumlisha mtu na kuanza kumtandika viboko kama mtoto mdogo!!!Tuache sifa, Vitu vingine ni kuomba visikukute au kukupata. Fikiria wamekuchapa kisha wakati unatembeza mkono unaojigamba nao mara umemuua mtu, je wakati unaomba hilo litokee uwatembezee kichapo umefikiria madhara mengine yanayoweza kukukuta?
Kwa mujibu wa dini na imani kuna wengine walifunga siku arobaini na wa dhehebu jingine walifunga siku thelathini zimekamilika wiki iliyopita hapakuwa na mbwembwe wala kutishia wasiofunga wasile mchana. Mfungo umeisha salama kwa amani hakuna aliyekerwa kwa funga hiyo
Mkuu kwaiyo saivi umestop kidogo kula mdudu mpaka muda upite....ila hii dunia.Chadema Bana ,hii team lissu